Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kulikoni nisaidie, katika application yangu ya NACTE, programme na institute names havionekani/vimefutwa. Tatizo ni lipi?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa, nime'apply' udsm na ardhi university bachelor degree, nimeji'register', baada ya hapo kuna steps nne. Step 1: My Profile Step 2: Application Fee Step 3: Academic Qualification...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba ufafanuzi juu ya kozi hizi Kwa upande wa market na field yake ya kimasomo ilivyo 1.Bsc.food science and technology 2.Bsc.petroleum chemistry 3.Bsc.applied zoology 4.Bsc.textile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu humu ndan! Nataka kujua kuhusu program tajwa hapo juu, nianze na ugumu wake au usimple wake hapo chuoni, Vipi kuhusu ajira (kuajiriwa au kujiajiri). Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa yeyoteanaefahamu CHUO chochote Moshi sana au Arusha kinachotoa kozi ya certificate in secretarial naomba anijize .pia mfano MTU kapata d3 na anataka Hiyo kozi je ataipata Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu katika pita pita yangu nimegundua kuwa TCU imetoa taarifa kinzani kuhusu program ya Bachelor of Arts in Philosophy with Ethics ya Mwenge Catholic University. Hiyo program iko kwenye list of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu, Kwa anaye ifahamu hii course kuhusu msuli wake na applications zake anisaidie. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
MH. PINDA MKUU WA CHUO KIKUU CHA OPEN UNIVERSITY NA RAIS MAGUFULI MULIKENI UPIGAJI DILI WA UNAOFANYWA NA BISANDA AKISHIRIKIANA NA SERIKALI YA WANACHUO. Chuo cha Open ndio kilikuwa chuo kimbilio...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
habari za jioni wanajamii, mimi ni mhitimu wa bachelor degree ya accounting nataka nijiunge na tuition center yani cpa review classes hapa DAR ES SALAAM ila sijajua ni mahali gani pako vizuri...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Natafuta darasa kwa ajili ya kuanzisha pre form one na tuition centre hapa DSM. mdau anayefaham anipm
0 Reactions
0 Replies
790 Views
history-c,kiswahili-c,literature-c,geograf-d,maths-f,bios-f,civics-d Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wanadau! Rejea kichwa cha habari hapo ndipo ujumbe wa leo unahusika. Katika jamii yeyote ya viumbe uijuayo hapa duniani iwe ni mwanadamu, wanyama hata wadudu, elimu ni swala nyeti sana...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Kwa wale tuliopitia Lugalo sec Iringa Tunamkumbuka mwalimu mmoja anaitwa mwalimu Materu alikua mwalimu wa Kilimo. Watu walikua wakimtajia majina ya uongo walipokutwa na makosa mfano wengine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale ambao bado hawajajua ni course ipi inawafaa na ni wapi itawapeleka basi soma hiyo pdf uweze kujua zaid, its is helpful.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa namna nitatambua kuwa udahili wangu uko successful accomplished na umepokelewa kwenye chuo husika MSAADA WENU PLZ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
608 Views
#SOJOURNER__TRUTH Mtumwa aliyepigania haki za watu weusi nchini marekani. Binti aliyezaliwa kwenye familia ya utumwa- huko newyork miaka ya 1790's Akiitwa Isabella na baadaye kubadili jina na...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Nimemaliz kidato cha nne na kupata 4:27 .... nnapenda sheria vipi bado nina nafasi ya kujiendeleza kwenye maswala ya elimu ya sheria???? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Hiv kuna utofauti upi kat ya "mass communication na journalism" Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Nimejaribu kufuatilia matokeo ya kidato cha sita na kujaribu kusoma mahitaji ya vyuo vikuu wanavyotaka.Nimekutana na neno kuwa kulingana na mpangilio na utaratibu wa NECTA unatakiwa upate point...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Back
Top Bottom