Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
ELIMU YETU Zamani wanafunzi wakifaulu darasa zima primary mtihani unarudiwa, sasa hivi wakifaulu darasa zima pongezi nyingi sana, sasa nn maana ya mtihani? Na wakikuta mwanafnzi yuko secondary...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nisaidien jinsi ya kufanya practical ya quatlitative analysis o level Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani! Anaefahamu taratibu za kupewa leseni ya maabara baada ya kugraduate anijuze, hasa wanaitaje vigezo gani Au mwenye regulations zao anaweza ituma apa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi ningependa kujua mtihan wa NACTE level 4, 5 na 6 haiwahusu wa UDOM kada ya afya Pia ningependa kujua mtihani huo unakuwagaje, umekazwa ama kawaida na pia vipi uwezekano wa kupata gpa 3...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajf!!!!! Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Ikiwa ni siku chache baada ya wanafunzi wa special program kutoka UDOM kupelekwa ktk vyuo vya ualimu kwa ajili ya kuendelea...
4 Reactions
49 Replies
13K Views
walamboooo_wamojaaaa kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
Wakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili. Asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TCU imetoa vigezo vya kujiunga na elimu ya juu, Kama wadau wa elimu ningependa tujadili hili swala la mwanafunzi ili kupata nafasi ya kusoma digrii ya afya ni lazima mwanafunzi awe na ufaulu wa...
3 Reactions
277 Replies
46K Views
Habari wana jf, nasoma lab science katika chuo cha sua nimekatutana na vijimaneno kwamba nikimaliza degree yangu ya lab SUA sipaswi kufanya kazi hospitalini kwa ajili ya tiba ya binadamu lakinini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna mtu yupo Uganda. Napenda kusoma hiki chuo online kwa master ya sayansi IT online. Naomba kujua uzuri wa hiki chuo. Nimeshapata usajili wa chuo. Nataka kuanza nikiwa hapa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Pilika zinanibana. Natamani kujiendeleza kielimu ila mambo mengi jamani. Hivyo nimefikiria kujiunga na Open university of Tanzania. Je inawezekana kusoma certificate, diploma hadi degree. Msaada...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na nina 3 ya 25 comb ya sayansi. Sasa nilikua naomba ushauri maana hadi sasa hivi sijui ni apply nini ila watu wamenishauri ni apply human resource and...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Naomba mwenye taarifa za vyuo vya afya vya DIPLOMA/certificate ya Clinical officer, lab tech, Pharmacy na nursing vya serikali anitajie tafadhali. (for form 4 leavers) 1. Lugalo, 2. Kilosa,3...
0 Reactions
3 Replies
25K Views
Kwenye Maisha tunapitia Mambo mengi, ila likija swala la Chuo kikuu au Shule inakuwa tofauti kidogo. Mimi Nakumbuka Nikiwa Mwaka wa 3 Semester ya kwanza, Niliibiwa Nguo zangu zote alafu ilikuwa...
5 Reactions
165 Replies
20K Views
Wakuu Naona tukiendelea kutegemea ajira za JPM maisha hayatasonga. Mdogo wangu ana cheti cha ualimu.Hapa home tuna frame nataka nibadili yawe madarasa kifundishia watoto wadogo km Nusery...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Hello JF, kumekua na wimbi la wakatishaji tamaa na waleta confusion kwa watu wanaotaka kusoma au kuendelea na masomo awamu hii. jiajiri imekua neno common humu,na kuwaacha wasomi feels like...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1:why language is not static? 2:how the social stratification/dialect causes the variation of language within a community. Let's share ideaz.[emoji404] bwayhermitTz
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Kwa Wana JF. Kwa yeyote anayejua shule inayofundisha watoto wanao elewa taratibu(slow learner)wengine wanita AUTISM naomba anifahamishe. Ahsante.. Bwojo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, binafsi naungana na maboresho ya TCU hasa hatua ya kuvifungia vyuo 19 nchini na kuvifutia vyuo vikuu takribani kozi 75 nchini... Napenda TCU iende mbali zaidi na kuhakiki taaluma za...
11 Reactions
66 Replies
17K Views
Kwa aliyefanikisha ku apply pale dit I need help plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom