Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wanataaluma wenzangu,kwanza napenda kuwapongeza na kazi nzuri ya kufundisha na Ku guide wasomi wenzetu talajari, Uzi huu ni naalumu kwa walimu(instructors,lecturers), wa vyuo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Maisha. Chuo cha Maji kinaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree hadi Tarehe 30 August 2017. Kwa sasa Batch ya kwanza ya wanafunzi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natanguliza shukran zangu...... naomba kufahamishwa kuhusu hizo program za diploma hapo udom maana kwa tetes nilizo sikia wanasema udom haipo under nacte kwahyo ata wanafunzi wake wanaosoma hzo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Sasa hivi ni saa 7 usiku nahangaika sio kupewa mkopo,ni kufanya maombi ya mkopo tu,kisa watu fulani wasio na utalaamu wamepewa majukumu wasiyoyaweza Dogo amepewa ruhusa wiki nzima kambini jeshini...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
*CBE CAMPUS YA DAR MNACHOFANYA NI KINYUME NA LENGO LA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFUL KWA WANAFUNZI* Na Abdul Nondo. Taarifa hii ifikie wizara,viongozi wote na hata watanzania kujua kipi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu!! Ni imani yangu mu wazima wa afya na mwaendelea vyema na michakato ya maisha. Ushauri wangu ni kwa vijana hususani waliomaliza kidato cha nne na engineers wanna be. Elimu ya ufundi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar... iv ili upate cheti cha form 4 unatakiwa upate division ngap au alama gan.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Kichwa cha habari cha husika, Mwenye vitabu vya NBAA soft coppies hususani intermidiate na final stages ani PM nimpe email anitumie au atupie hapa uwanjani. Sio lazima uwe navyo vyote hata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kwanza poleni/hongereni kwa mapumziko ya week end. najua wengi wenu hapa ni wazazi au walezi kama mimi au wazazi watarajiwa. nimeona niwashirikishe katika hili. "msomi wangu" siku kadhaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza posts za second selection Form V zinatoka lini?! Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
TSSF kwa kushirikiana na mfadhili wake anayeitwa CDF International kutoka Seattle, Washington, Nchini Marekani imeanzisha Mfuko wa Elimu ya Juu wa TSSF ambao utakuwa ukitoa ufadhili wa masomo ya...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu polen na shughuli za kila siku, ningependa kujua iwapo naweza kusaidiwa ni jinsi gani naweza shughlikia makosa yalio jitokeza wakati napakua form ya mkopo Sehemu ya kwanza ni katika mwaka...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu habari. Naomba wanasheria mnisaidie. Natamani kusoma sheria. Ila mwanzo undergraduate sikusoma sheria. Nimeona Uingereza inawezekana kusoma postgraduate ya sheria kama undergraduate...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari za saizi. Wadau kwa anaefahamu namna ya kupunguza ukubwa wa picha iwe chini ya mb 1 na 150 x 120 pixels ili niweze kuiapload kwenye maombi ya mkopo. Natanguliza shukrani zangu. Sent using...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Wakuu naombeni ushauri kina kozi inaitwa environmental engineering and management in mines diploma...naomba kujuzwa kama INA shavu au vp Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fanyeni marekebisho ya mwisho ( in terms of choices of courses, where to study, etc) leo ndio deadline ya kuomba vyuo vya diploma/certificate. Kuwa macho na mitandao, inaweza kukata while on the...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa wale ambao mmepitia tovuti ya nacte mtakuwa mmeona kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2017/2018 sifa za kujiunga zimebadilika sana hasa kwa ngazi ya cheti ukitokea kidato cha nne. nimebahatika...
2 Reactions
43 Replies
17K Views
Wadau naombeni msaada kujua vyuo vinavyokubali kupokea wanafunzi wa Shahada ya kwanza mwenye sifa tajwa hapo juu. hapa nchini. thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How does need project differ from demand driven project Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kufahamu ni ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania katika tasnia ya sheria unaweza kumruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) katika vyuo bora vya sheria ulimwenguni kama oxford, Cambridge na...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom