Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajukwaa wote! Anayefahamu maduka ya vitabu vizuri vya science Mwanza ninapoweza kupata vitabu vifuatavyo na gharama zake niandae bajeti: 1.Biological science (BS) 2.Organic chemistry...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwema wakuu...? Naomba kufahamishwa niwap naweza kupata chuo bora kwa ajili ya uproducer,uDj na uMc.[emoji441] [emoji344] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
13K Views
Jamani naomba watu wajadili juu ya nafasi za kuwa lecturer vyuo vingi vya Tanzania. Kwanza mi naona kuna tatizo kubwa sana naomba Prof Ndalichako na TCU walifanyie kazi. Nafasi ya kuwa lecturer...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Thread hii maalumu kwa ajili ya kuuliza maswali kuusu mikopo kwa kozi za diploma 2017/2018. Kama vile jinsi ya kuapply na kozi zinazopewa Mkopo. Weka swali lako utajibiwa na watu wenye ujuzi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa taarifa, swali, hoja na chochote kile kuhusiana na Chuo Kikuu cha Dodoma, tukutane hapa. First year, 2017/2018. Karibuni sana UDOM: They call it UDOM but we call it HOME, this's the home of...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu amerudia kufanya mtihani wa form 4 mara 3 Ndio akapata credit za kwenda form 5.cheti cha kwanza akina credit ana division 4 ya 30. Chapili alirudia masomo 7 akapata division 3...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani msaada kwa waliochaguliwa form five na form zao za kujiunga kidato cha tano Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari Nipo hapa kuulizia kwa mwenye kuifahamu ki undani course hii inayo tolewa katika chuo kikuu mzumbe , katika nyanja ya upatikanaji ajira zake na masuala...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
O-level alisoma science hakufanikiwa kufaulu vizur masomo hayo sasa anataka kurist masomo ya biashara kwa sababu zake binafsi je inawezekana ??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimelipa Ada ya maombi ila nikiupload documents (vyeti) inarudi mwanzo sielewi nin tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Kwa alifanikisha kuapply DIT Naomba msaada juu ya hili Kila nikijaribu ku create account wananiambia kuna data zinamisi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wana JF... Mwenye Kitabu Hiki Title: MISINGI YA UUGUZI (Nursing and Ethics) Author: PALIUS SANGA Anisaidie WhatsApp namba 076 Nakihitaji Sana. Kimeandikwa na mtanzania, na ni kizuri sana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
WElcome For More Update TUJuzane VYuo Vya afya Tz
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Salamu Kwako. Baada ya kuchepuka Kwenda chuo Ni meamua kurudii mwaka huu Kusoma business administration accounting Open university. Kwanini open university? Kwasababu kuna shughuli za kimaisha...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wakuu... Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo phy-C chem-C bios-C math-D geo-C hist-C civics-C kiswahili-C english-C...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu walimu na jaiii,ni wakati muafaka wa kuvitambua na kufufua vituo hivi,kwa muda sasa serekali imeviacha bila kuviwezezesha,hapa ndio chimbuko la kuwaendeleza walimu na taaluma kwa jumla.nini...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Habari zenu wadau? Kuna hatari nimeiona kwenye kujaza form za kuomba mkopo wa elimu ya juu mwaka huu. Huu ni mwaka ambao wanafunzi wengi watakosea kujaza form za mkopo kuliko miaka yote...
7 Reactions
31 Replies
7K Views
Hello wana JF Kama kuna mwalimu yeyote ambaye yupo Njombe na Makambako na hajapata ajira bado tangu 2015 Tafadhali tuwasiliane. 0625686556 Ni wakati wa kutumia elimu yetu kwenye Fursa ya elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMBO 20 YALIYOTUSUMBUA SHULE ZA MSINGI. 1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani tu. 2.Unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni afu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari Nipo hapa kuulizia kwa mwenye kuifahamu ki undani course hii inayo tolewa katika chuo kikuu mzumbe , katika nyanja ya upatikanaji ajira zake na masuala...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Back
Top Bottom