Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana Jf naombeni msaada wenu kuhusu joining instruction za lugoba high school.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu naomba mwenye kujua chuo cha mwlm nyerere kigambon kwa upande wa coz zingene mbali na ualimu naomba kujua kwamba wakoje kuhusu ufundishaji waoh e.g accounts,procurement, record...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habar wanajf, Nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25 Dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau jirani yangu anauliza kama kuna mtu ana mwanafunzi anayesafiri kimasomo kwenda china tarehe 09/09/2017 kwa kutumia ndege ya ETIHAD ili waweze kupeana company.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ANA MATOKEO YAFUATAYO PHY D CHEM C BIOS. B ENGL. D MATHE. E JE ANAWEZA AKACHAGULIWA CO?? MSAAADA TAFADHARI!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Samahani wakuu poleni na majukumu ya kila siku ... Naomba msaada kwa wenye uelewa na hili, HESLB hutoa mikopo kwa wanafunzi wa private na government sasa kuna uvumi kua kiwango cha utoaji mikopo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa waliosoma Sua naulizia kuhusu kozi ya Agribusiness Mara nyingi wanachukua division ngapi na maisha kwa ujumla ya SUA?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Rai yangu kwa bodi ya mikopo na serikali hakikisheni wanafunzi wa elimu ya juu wanapata mikopo pasipo kubaguliwa kwa namna yeyote ile. Tusitumie vigezo vya kusema hawa ni private na hawa wamesoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu watanzania na wahasibu wenzangu , napenda kuchukua nafasi hii adimu kwa kueleza kilio changu kuhusu hii bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu Tanzania (NBAA). kWA KWELI BODI HII IMEUNDWA...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Hello members poleni na majukumu, Leo nilitaka niweke wazi sintofahamu ya utofauti kati ya mtu mwenye degree ya account + cpa na yule mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa. Utofauti...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
*Anaandika Comred KAMWELA. A. D* *Walimu kipo cha Kujifunza Kupitia Mwalimu wa Hai* Ni alfajiri Mwanana ambayo katujaalia Yarabi..... Nikiwa na desturi ya kuamka mapema na kupitia kurasa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wadau... Bila kupoteza muda. Nimekuja hapa nikiwa nahitaji ushauri na mawazo toka kwenu maana humu Kuna wazoefu wa maswala mbali mbali. Nina mdogo wangu wa kiume alimaliza kidato cha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Tutaftane niwape maujanja ya kuish pale camp
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wana JF Ningependa kufafanuliwa kwa kina Vp wanafunzi wa Hasahasa Primary wanakuwa na utoro mashuleni Hii ni kwa watoto wa kitanzania tu sio sehemu nyengine Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
8K Views
I found this Huge Collection of Latest Materials to share with you Guys! Materials include Books and Exam Practice and revisions from F1 to P7 Governance risks and ethics Audit and assurance...
6 Reactions
14 Replies
5K Views
Mi ni mmoja wa victims wa second round application na nimechagua automobile eng ya NIT kozi hii ni miaka 4, na mkopo ina priority ningependa kujua ukweli kuhusu hii kozi kama ni ngumu na vipi...
1 Reactions
33 Replies
13K Views
Nisaidieni ,chuo gani cha ualimu cha serikali ni kizur,kwa diploma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesikia kuna shirika linaitwa compassion msaada mawasiliano
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefanya kosa wakati wa kujaza form ya sokoine university, nime-submit kabla sija - upload copy ya vvyeti vya f4 na f6. Sasa nikijaribu kuedit ku-upoad inagoma na kusema no file selected. What...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom