Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa advance hapa nchini, nimekuwa member wa JF tangu zamani sana hasa katika jukwaa la Elimu.
Wazo langu ni kuwa tuanzishe society ambayo itakuwa na members...
Miaka ya nyuma kidogo kulingana na changamoto ya uhaba wa walimu serikali ilijenga vyuo vingi vya ualimu hatua hiyo ilikuwa ni nzuri sana na ilipelekea kupunguza tatizo kubwa la walimu nchini...
Ninaomba kuuliza kuhusu hili...kuna rafiki yangu alipata D mbili form 4 kati ya masomo saba yaani English na Kiswahili.
Sasa alianza chuo cha utumishi akaaza certificate na sasa anaaza dip swali...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF...
Tisaidiane kueleweshana mazingira Na jinsi ya kukabiliana Na maisha ya Dodoma. Gharama za maisha zopoje na ni bora kupanga chumba au kukaa hostels. Karibuni
Leo Siku Ya Alhamis, Saa 11:27 Tarehe 14/09/2017 Baraza La Mitihani La Taifa Limeachia Matokeo Ya Walio Kata Rufaa.
Sijaona Aliyeshinda Rufaa Hata
Mmoja.
Kuona majina bofya ==> HAPA
Habarini za asubuhi wana JF.
Katika jitihada za kujaribu kutafuta namna ya kujiendeleza kimasomo, nilifikia uamuzi wa kutafuta walau chuo kinachotoa online Courses hasa kwa Second degree.
Katika...
Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website...
Wadau, tafadhali anayefahamu shule ya wasichana rugufu sekondari anisaidie kupata taarifa muhimu. Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mfupi tu uliopita Uongozi wa Chuo Kikuu Kikongwe kabisa si tu Afrika ya Mashariki bali Afrika kabisa kama siyo duniani pia cha Makerere kimesema kwamba kimegundua kuwa 65% hadi 75% ya...
Wakuu habari.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu kombi CBG nimepata D E E .. O level sikufanyia PHYSICS mtihani .., je kulingana na kutokuwa na physics O LEVEL je nitaweza...
Nina binti anayenisaidia kazi nyumbani ana umri wa miaka 30, ni mchapakazi Sana kazi za ndani hata za shamba yuko vizuri. Elimu yake ni kidato cha nne ila hakufanya vizuri ana D mbili alimaliza...
Habari wakuu... leo jioni nimepokea email kutaarifiwa kua nimechaguliwa kujiunga na COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT, MWEKA (CAWM) kwa kozi ya basic certificate in wildlife tourism. Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.