mim naona huku field walimu wanapata shida sana elimu msingi maana take mini?
Ufafanuzi unahitajika sana kuondoa mtafakuru maswali ni kama ifutavyo.
je hakuna neno shule ya msingi?
upimaji wa...
Karibu.
Nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaenda kukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/=
Ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300/=
Halafu ukaamua...
Habar zenu wakuu, nauza materials ya A-level kama ifuatavyo; Conceptual chemistry S.CHAND 1 & 2 (for class eleven & twelve), NEW UNDERSTAND OF BIOLOGY, BIOLOGICAL SCIENCE (BS)., Ngaiza series...
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
Tukiangalia huko tulikotoka elimu ilikua nafuu kwe viwango vya matokeo,lakini sasa ni shida kwa kweli.
Kwa mfano kipindi cha nyuma ulikua ukipata THREE kuanzia ya 14-18 unaenda chuo kikuu lakini...
poleni kwa majukum, jamani naomba mnisaidie ufafanuzi, kati ya mtu anaesoma diploma ya clinic officer na diploma in nursing, napata utata kuelewa ni ipi nzuri kati ya hizo? ipi nyepesi kuisomea...
Kwa hapa Tanzania ni sehemu gani inapatikana elimu ya ufungaji madishi na antena? Na wahitimu kupewa vyeti kulingana na muda waliodumu masomoni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni na majukumu wakuu.. Naomba kuuliza kama selection za diploma chuo cha UDOM zimetoka. Natanguliza shukani zangu za dhati.. Ahsanteni kwa msaada wenu
Jamani swali langu ni hili;
Kwa mfano applicants wawili wakaomba kozi moja tuseme Electrical Engineering
QUALIFICATIONS::
Applicant A: akawa ana Div I point 7
Phy-C Chem-A Math-C
Applicant B...
wakuu wale wenzangu mliosoma lutengano tujoin hapa kwa mastori ya wakati huo tupo shule,mimi nilimaliza form iv pale mwaka 2000 mkuu akiwa mzee MINGA,makamu wake MAMA MAHEMBE,discpline...
Habari wakuu
Nahitaji kama kuna mwanafunzi anasoma chuo cha st john kwa course ya diploma ya maabara ,pharmacy,nursing
Naombeni nipate full detail juu ya hiki chuo msaada kwa hilo
Nisaidieni nataka ni apply dit Mimi grade zangu za form four phy-B chem-B bio-A math-C kisw-B eng-B civ-C hist-C geo-C nataka in some lab technology college sitaki ni pitie frm 5 naomba ushauri
Jaman Leo nimepigiwa simu na MTU akijitambulisha kuwa ni mfanyakazi Wa bodi eti Leo jumapili ndio wanagonga mihuri na kuzipitisha fomu za mkopo ila wamegundua kuna mapungufu sikuweka matokeo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.