Walimu wengi wanaofundisha fani ya uhasibu ktk vyuo vikuu Tanzania hawajafanya kazi ya uhasibu hivyo wanafundisha theory zaidi kuliko practical. Kama walimu wanaofundisha fani ya Uhasibu nchini...
Huu unaitwa ubunifu. Leo hii ukienda secondary ukamwambia mwl. akuletee mwanafunzi mwenye akili zaidi darasani, atakuletea yule ambae hupata "A" ya Mathematics, Physics au Chemistry.
Kamwe...
Husika na kichwa cha uzi huu hapo juu naomba msaada kwa yeyote anae kifaham chuo hiki vizuri especially kwa course ya clinical medicine diploma
(ada na taaluma yake)
Natanguliza shukrani [emoji121]
Habari wakuu samahani kama kuna mtu anayevifahamu vyuo vya ualimu secondary kwa masomo ya sayansi na hisabati ukiachana na Monduli, Kleruu, Korogwe, Kasulu na Dakawa .Kama vipo vingne naomba...
Habarin za saa hiz wakuu.
Ningependa niende direct kwenye mada, dogo langu amechaguliwa kozi ya radiography katika chuo cha Bugando...ningependa kujua kwa mwenye ufahamu na uelewa juu ya hiyo coz...
Jjebaleko banyabo ne nassebo
Olunaku lwalelo luwede
Dah mnakumbuka waapi enzi zenu wale waliosoma shele kama
1.East High
2.Kawombe Memorial high school
3.Kinaawa pale Kyengela(Chengela)
4.Kawempe...
Ndugu zangu wana Jami foram kuna tetesi kuwa wanafunzi wa kidato cha tano chaguo la pili wameshatamgazwa,yeyote mwenye ukweli anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habari zenu?
Hongereni wale mliochaguliwa kozi mbalimbali na NACTE, imetangazwa vyuo vinafunguliwa tarehe 25/9 lakini joining instructions bado. Tunaomba wazitoe mapema ili tupate muda wa...
Nilikuwa ninaaply tena kwa mdogo wangu ambaye alikosa selections zilizopita
Nimeambiwa namba ya mtihani ilikwishatumika tayari
Subirini mpaka mfumo utakaporuhusu
Nashindwa ku upload picha
Habari zenu wakuu
Nina imani mpo salama na shuguli za kujenga taifa
Lengo la kuleta uzi huu ni kujadili ni shughuli gani inafaa kuanzishwa pale chuo ili mwanafunzi update kipato
Yaani nina...
Naungana na mwandishi wa Gazeti la Mwananchi la leo Jumanne Septemba 19, 2017 kuhusu kichwa cha mada hapo juu, kusikitika kwa yanayojiri kwenye hizo shule.
Gazeti hilo limekariri matokeo ya...
Kwenye profile yake kozi moja wamemwandikia eligible, wait for next selection maana yake nini? Asubiri uhakika upo wa kuchaguliwa au wakitoa second round aaply tena?
Naomba kufahamishwa
TOPIC 2.
★★★THE RISE OF DEMOCRACY IN EUROPE★★
BACKGROUND
Democracy Is system of Government by the people and for the people.
Democracy refers to a system of Government in which all people can...
habari za majukumu wana jf, naomba kuuliza kuhusu chuo cha Kilimanjaro institute of technology kilichopo sinza mapambano na mwenge, je hiki chuo kiko vizuri kwa ufundishaji upande wa course ya...
Wakuu naombeni mnisaidie kwa yeyote anaayejua au mwenye taarifa zozote kuhusu majina ya walio kuwa selected kujiunga na chuo cha RUCU ngazi ya diploma na certificate 2017/2018 naomba tujuzane.
Wakuu salama?
Kwa wale ambao bado mnasoma, au tuna ndugu zetu/watoto wetu bado wanasoma Kidato cha 5/6. Hivi yule Mwalimu wa Kiingereza Ostadhi Shaaban Omar bado yupo? Na bado anafundishia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.