Habari wana jukwaa la Elimu.
Hii document inayoitwa standing order, kama kuna mtu anayo naomba a upload hapa maana mkuu wa shule anasumbua kweli kweli.
Pliz msaada.
GoodEvening wana JF..
Nilikuwa na swali hv inawezekana MTU aliemaliza form six na Division 3 point 16 akapata chuo cha private au public kuingia degree courses....
Wana ATC tunasema Skills make the Difference, Huu utakuwa uzi special kwa alumni na Currently Students katika Chuo chetu Makini cha Ufundi Cha Arusha, Sambamba tunawakaribisha Wote wanaotaka...
Nataka kuchukua masters mwaka huu, ila sipo tayari kuacha kazi na kuhudhuria lectures kz hata jioni siwezi sipo Dar nipo Kigoma. Naomba kujua hii by thesis nikiomba cz kuna option hiyo, naomba...
Wadau kwa ambae anaweza kuwa na uhakika wa taarifa adondoshe majibu.hawa jamaa naona kimya hadi sasa na hawajatoa hata alama ya nini kinaendelea maana na wao waliahidi kutoa mapema mwezi huu wa 9
Habalrini wna jf :(
Kwa yeyote yule aliyechaguliwa chuo cha ualimu Kitangali kilichopo Mtwara naomba tukutane hapa tufahamiane na pia tujuzane mengi kuhusu masuala ya chuo...
Habari wadau..
Kiukweli nimeumia sana baada ya kuona huyu binti anavyofanya presentation kwenye seminar akiwa chuoni UDSM
Kweli lecture mzima unakubali na kumruhusu binti wa chuo kikuu ana...
Habarini wakuu, NACTE wametoa available slot lakini nyingi kama si zote ni upgrading na in service sasa mimi ambaye sijawahi kusoma hata certificate na siko in service naweza ku apply?natanguliza...
Habari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.
Hi my brothers and sisters in all parts of our beloved country Tanzania.
My names is James. I am a students' ambassador for the University of People in Tanzania.
I know that many Tanzanians...
Habari wakuu,
Nauliza vipi kuhusu matokeo ya wanafunzi wanaotarajia kupata elimu ya chuo kikuu 2017/2018 tarehe maalum ya kutoka ni lini?
ina maana kila chuo kinatoa matokeo kwa kujitegemea?
Au...
Jaman naombeni ushauri nifanyeje ndugu zangu nilifanya application online chuo NIT lakini sikumaliza last step ya submission kutokana na ubovu wa mtandao kugoma na ndo ilikua deadline pia nilienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.