Kwa habari nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wahusika wa udahili wa vyuo vikuu 2017/2018 zinadai siku ya tarehe 25/09/2017 jumatatu vyuo vikuu vilivyopokea applications za undergraduate degree...
Kwa wale waliopata uhamisho au wenye uzoefu hivi inachukua siku ngp toka majina yatangazwe mpaka barua za vibali zifke halmashauri nisije nikakurupuka kesho nikute hewa
Wana jamvi naomba ushauri kuhusu kijana anayechukua hkl baada ya kumaliza ana fursa gani na kozi gani baada ya kufika chuo ambazo ataendana na soko la ajila..
WanaJF naombeni mnijulishe kwa undani kuhusiana na COICT-UDSM
-Diploma in Comp.Sc kwa aliehitimu kidato cha VI
-Life at the college
-Accomoɗation(hostel .nk)
-Teaching and Learning equips...
Habari za sasa hv wakuu,
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa kidogo kuhusu vyuo vinavyotoa diploma ya Clinical Medicine
Je ni vyuo gani vizuri vya private vinavyopatikana kati ya Dar es Salaam...
UHAMISHO sasa waachiwa angalia jinaa lako hapo chini
Uhamisho chunya songea watumishi wote SEPTEMBER 2017
Watumishi wa Idara ya Afya Waliohamishwa SEPTEMBER 2017.pdf
MAJINA YA WATUMISHI...
Kitaa kishanchosha wakuu bora npate hiyo kozi yeyote tu chuo kikuu maana si mnanajua perception za watu wa vijijin wakikuona umekaa home mwaka mzima wanaanza "amefeli amerudi tulime hapa au kamlia...
Wakuu nisaidieni mawazo ,
Nisome course gani kati ya hizo zilizotajwa make nimechaguliwa course hizo zote .
Course gani ni bora kuzidi nyingine?
Mawazo yenu tafadhar
Habari wakuu, awali ya yote nawasalimu, natumai mu wazima wa afya.
Kwa wale wote waliotuma maombi ya kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania, napenda wafahamu kuwa majina ya waliochaguliwa kujiunga...
Ndugu wapendwa hv hawa nit taratibu zao zinaenda vp maana Mimi siwaelewi hadi Leo hii trh 23 mwez wa Tisa hawajatoa selection hv ni kawaida yao au ni kwa mwaka huu.
Mwenye uelewa wa hiyo course kwa level ya diploma please naomba anifahamishe. Maana sijawahi kuisikia ila hapa mtaani kuna chuo kwa level ya diploma na nataka niombe nafasi
Habari za jioni wakuu,
Naomba msaada kwa anayekifaham hiki chuo kiko Mtwara,,na je wanafunzi wameanza kuripot??
Je kama ukichaguliwa unapataje joining instructions??
Wakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada juu ya chuo cha st.john tawi la Dar ,Bugulun Malapa,kimeshafungiwa au lah?
Maana mdgo wng ameapply hapo kwa ngazi ya cheti lkn hakuna dalili yoyte ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.