Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
habarini wakuu nmemaliza 4m4 2016 lkn sjafankiwa kupata shule ya kidato cha tano nlpata 3.24 (hst c, kswahl c, engl c, bios c, geo d, phy d, chem d, civcs d, math f,) nataka kwend kujiunga form 5...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
HAND WASHING. Proper hand washing is one of the most effective way of preventing the spread of disease such as diarrhoea disease. Pathogen cannot be hand and water alone is not...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Kwako Mama Mpendwa. .! Shikamooo Mama .Natumai unaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifaa letu pendwa . Nia na dhumuni la kuandika barua hii ni kutaka kukumbusha Mama yangu mpendwa ile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NAFASI CHACHE ZA SHULE Je,wewe ni Mwanafunzi wa kidato cha Tatu uliyekwama kuendelea na masomo au unaetafuta shule ya boarding? au umekwama kwa namna yoyote ile na unahitaji msaada kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni,? Poleni kwa pilika pilika za siku nzima. Naomba nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada Yangu , nimesoma bachelor of Commerce in Marketing, je naweza fanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mdogo wangu kachaguliwa kusomea Stashahada (Diploma) ya uwalimu wa kilimo katika chuo tajwa hapo juu. Naomba kujua hali ya chuo na mazingira ya chuo kwa ujumla. Na vipi hali ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau nimedisco chuo hivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili, pia utaratibu wa chuo siruhusiwi kurudia mwaka.
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Kwa yeyote anayejua chuo kizuri kinachotoa kozi ya business admnistration plz
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu msaada hivi iko chuo kwa upande wa diploma kinachukua wanafunzi na je VIP kimefungiwa bado au walisha kata rufaa??
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawashauri wadogo zangu wanaotarajia kuingia chuo msisite kuleta mgomo ikiwezekana kuvunja amani ikitokea hamkupewa haki yenu ya mkopo Msikubali kuwa wanyonge kuona haki yenu haitendeki Kamwe...
11 Reactions
94 Replies
9K Views
Samahanini ndugu, naomba kuuliza vyuo vya afya vya serikali huwa wanatoa vyakula na malazi hapo hapo chuoni au wanafunz wanajitegemeaa. Kinginee hivi kwa diploma za afya na ualimu kwa vyuo vya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanataaluma, Kwa mwalimu wa somo la Kiingereza mwenye notisi za uchambuzi wa "novel" ya "The Interview" iliyoandikwa na Patrick Ngugi, Ziwe soft copy au hard copy nina uhitaji nazo. Naomba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar wapendwa. kuna ndug yangu alimalza form four mwaka 2006, alisoma masom ya sayansi. na matokeo yake alipata kma ifuatavyo Physics F, chem D, Biology D, English D civics C. sasa anataka...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu salama? Nina wazo la kutengeneza system mbalimbali za Electronics ambazo zitakuwa suitable Katika Mazingira yetu, Yani kuwa calibrated kutokana Na mazingira yetu, Changamoto kubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Mdogo wangu ameomba nafasi katika vyuo Vikuu vya Dodoma, Mzumbe, Udsm na Mwalimu Nyerere. Lakini mpaka sasa sijasikia Taarifa zozote juu ya vyuo kutoa majina ya waliomba, ama mtandaoni au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, I think kuongoza nchi nzima au kuwa top ten kwenye necta sio swala LA mchezo. Hawa ma T.O wanatumia mbinu gani za kusoma? Lyk wanasoma sana au wanakariri abott yote or... Mwenye uzoefu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Karibuni tupeane taarifa, coment chuo na kozi uliyoomba, coment yakwanza itakuwa yangu
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Naamini hili jukwaa wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Jaman naomba kuuliza, Kwa mfano umemaliza bachelor of science in education alafu unataka uunge masters, kwa sasa ni masters ipi iko market able world wide in education.
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Asalam alaykum Ndugu mwenye kitabu cha sahihi bukhary cha kiswahili soft copy anitumie nidowload Natanguliza shukrani
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom