Habari zenu wana jukwaa napenda kuwashauri kitu madogo wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu haswa wa masomo ya sanaa kwamba mjiandae kisaikolojia pindi mkikosa mkopo au wazazi na ndugu waanze...
Salam wakuu. Weekend ndo hiyo inajongea taaa...ratibu! Dsm joto jotoo,pesa haionekani,pesa haikai mfukoni.
Nije kwenye mada tajwa hapo juu. Tukilinganisha vyuo hivi viwili yaani Chuo kikuu cha...
Siku hizi vyuoni suala la kuwa na malecturer vikongwe yaani wazee kupitiliza limekuwa lakawaida. Utakuta lecturer mzee ata kuona ni shida, kusimama muda mrefu hawezi. Sasa unajiuliza mtu wanamna...
Wakuu nimepata uzi kuwa tokeo ni tarehe 2 December this year lakini kwa wale walichaguliwa vyuo viwili TCU wanafanya mchakato wa kuwa komfirm
SWALI
TCU wametoa tarehe 25-27 mwez huu kwa ajili ya...
Hivi nipende kuuliza aliyeharibu elimu ya msingi tanzania ni mawaziri ambao wanawekwa madarakani au maana kama bado watoto wa darasa la saba wanachagua mpaka hesabu hivi kizazi kijacho kutakuwa na...
Nilipima shamba kwa kutumia mita kamba na kupata kama ifuatavyo,,
Urefu wa shamba 210m
Upana wa shamba 190m
Je kwa vipimo hivi ni sawa na hekari ngapi za eneo
Natanguliza shukrani.
Wadau vipi..
Natumai mpo fresh. Ishu yangu ni namna ya kupata angalau summary ya Map reading & Interpretation kama mtu anayo basi aniangushie huo mzigo. Shukrani
Nataka kujua, hivi ninyi walimu vyuo vikuu mnawezaje kumpa mtu alama za ufaulu iwapo tu hata lugha ya kujibia mitihani haijui?
Je hii ni kumaanisha elimu ya chuo kikuu ni kama kanisani ambapo...
The College of Business Education via the Campus Director's Office with postal address 2077 Dodoma has advertised the Job vacant on the post of Human Resources Officer.The advertisement is posted...
Tangazo...
Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant...
Habari zenu wandugu ,dogo wangu kachaguliwa udom coz ya EDUCATIONAL TECHNOLOGY ,je hii coz inahusiana na nn na je ipo marketable kwenye ajiri,msaada hapo
Kwanza natanguliza shukran kwenu.
Naomba ufafanuzi juu ya chuo cha *CANRE* college of agriculture and nature resources , kilichopo Dar es salaam nataka ku apply hapo je kipo vizuri ,Ushauri wenu...
1) 2018 Common Wealth Short Story Prize: http://juliuskessy.com/2017/09/19/2018-commonwealth-short-story-prize/
2) 2017 Global Climate Law and Governance Student Essay Competition...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.