Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma. 1. Msinga'ng'anie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course kama...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Jamani nisaidieni, Mimi nimechaguliwa chuo cha NIT na UDOM lakini mimi nataka kwenda NIT, sasa kwenye multiple selection ya NIT sipo, unafanyaje hapo? Kwa anaefahamu plz msaada wako...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
UDOM wametoa nafasi kwa ajiri ya maombi awamu ya pili, la ajabu hawajasema programme gani zimebakiza nafasi. Ukijaribu kuomba zote zipo kama zilivyokuwa mwanzo. Hebu saidia kutoa nafasi zilizo...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Mimi nimetumiwa sms na chuo kuwa jina langu limekataliwa TCU hivo ikabidi nichukue barua kutoka katika chuo ambacho nilichaguliwa mwaka jana hivyo nikaenda TCU wakanipa fomu nikajaza nikawapa tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetemwa MU na Udom ila sjakoma nataka apply tena [emoji30]
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini za jioni watu wa mungu. Nilikuwa naomba ushaur jui ya jambo hili ambalo linaniumiza kichwa mimi nimechaguliwa certificate ya nursing ila nadhan kulingana na competition ndo nikajikuta...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Nilitumiwa email from open university kwamba wamenichagua kujiunga hapo ila wakasema ni provision letter na majina wao mpka sasa hawajatoa nifanyaje wadau ??
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kwa wanafunzi waliyochagiliwa kkujiunga na vyuo vya afya na ualimu kupitia mfumo wa nacte kwa yeyote yule aliyetumiwa join instruction form mpaka sasa naomba tujulishane mapema ikiwezekana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafanikio ya elimu ya Tanzania yameanza kuonekana katika miaka ya 2000,hapo ndipo watu walipoanza kuamini mafanikio katika elimu leo 2017 takribani miaka 17 ni muda mchache tu hali imebadilika.Leo...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau naona vijana wengi wanafurahia kupata chuo dah ila mwenzenu nikiwakumbuka HESLB furaha inapotea kabisa kwa kuwa nikikosa mkopo ndoto za kusoma UDSM zinazimika kama mshumaa coz nimesoma kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Chuo cha bahari( Dar es salaam Maritime Institute) kinachotoa kozi za unahodha wa meli na uhandisi meli kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza katika muhula wa masomo wa mwaka...
3 Reactions
17 Replies
10K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya msingi na ikiwezekana hata chuo kikuu. Ni muhimu kutumia lugha yetu ya taifa siyo kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina...
1 Reactions
91 Replies
6K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka fulani niliomba diploma ya clinical officer kupitia NACTE nimepata lakini sina uwezo wa kujilipia ada msaada wa mashirika yanayotoa udhamini.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jaman msaada naomba...kama yupo aliye chaguliwa chuo cha IFM na tayari ame confirm au mwenye uelewa juu ya hili....wameandika confirmation format ni CN01234-tareh-mwez-na mwaka wa kuzaliwa.....huo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu. Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee...
1 Reactions
77 Replies
10K Views
Takwimu za TCU zinaonesha hadi sasa wengi waliofanya application kwa awamu ya kwanza wamekosa vyuo. Kati ya waombaji 180,640 majina kutoka vyuoni yalitumwa TCU na TCU inaeleza kutokana na kasoro...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanabodi, mdogo angu kachaguliwa kujiunga na fani ya Fine Arts and Design(UDOM & UDSM). Hivi mtu huyu atapata mkopo? ajira zake zipoje? Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu samahani kwa usumbufu...nilihtaj msaada wa kuelekezwa (procedure) za kuandika proposal ya kipind cha kwnye tv...kama kuna mtu ana sample anaweza nisaidia...nataka kuandika proposal ya kipind...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Naomba kujua kama kuna yoyote aliechaguliwa kwa ngazi ya degree ikiwa yeye aliomba kwa njia ya DIPLOMA kwa vyuo vilivyo toa majina tayari!!! Na je kunaaliye chaguliwa ARIDHI UNIVERSITY?
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom