Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani wana JF poleni na majukumu ya kila siku mimi ni undergraduate nimechaguliwa DUCE kusoma education lakini mimi sijapenda kusoma hiyo nataman kuhamia main campus ili nisome mass...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu naombeni kuuliza kozi nzuri za afya kama medicine, pharmacy
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu; Naomba kujuzwa, kuhusu uwanda wa mtu mwenye diploma ya phamarcy kama akihitaji kujiendeleza kwa maana ya degree na kuendelea. Je ni kozi gani nyingine ambazo anaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni msaada kujua mahali kilipo chuo cha ualimu dakawa na jinsi ya kufika, mimi ni muhanga wa uhamisho tuliopewa NACTE baada ya UDOM kujaa. Napata vipi join instruction..
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wale ambao wamefanikiwa kuapply St.John ikoje, mbona mimi nikitaka kuingia kwenye online application. Inachukua muda kufunguka hadi inagomaa. Tusaidiane wakuu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Nina mdogo wangu amechaguliwa kusomea ualimu wa masomo ya ufundi chuo cha Kleruu Iringa, naomba kama kuna Mtu anakijua chuo hiki au alishawahi kupita pale au ana uzoefu na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar wanasuaso, Serikali ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha SOKOINE CHA KILIMO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza. Pia Serikali ya wanafunzi kwa kushirikiana na utawala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu, baada ya kupigwa za uso katika round ya kwanza admission nimeapply mara ya pili tena lakini kuna minong'ono inayosema eti mama amesema mwaka huu ni round mbili tu, je kuna ukweli...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kaka zangu naombeni msaada ipo kozi nzuri ya kusoma na yenye field nyingi kati ya mechanical na telecomonication.
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Ndugu, Naomba mnijulishe nifanyeje ili ku_log in kwenye account ya mwanachuo aliechaguliwa leo pale Mzumbe...
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Naombeni msaada nataka kuapply mara ya pili mzumbe lakini sioni option ya ku apply mara ya pili kama kuna mtu anafahamu naomba anielekeze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani najaribu Ku re-apply tena lakini napofika ktk kujaza form 4 index namba na ambiwa already exist. Jaman tusaidiane ukizingatia siku zimebaki 2 tu . Kwa yeyote anayejua anisaidie
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nimepata chuo ila kiukweli kozi niliyopangiwa sijaipenda kwani niliomba vyuo vingi kwa imani kuwa nitapata katika vyuo mbalimbali na baadae nitachagua niende chuo gani! Lakini...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Prof Ndalichako mi nitamkubali kuwa ana nia kweli ya kuboresha ELIMU ya nchi iwapo atafanya yafuatayo kwa uchache wake: 1. MITIHANI YA KUHITIMU DARASA LA SABA. Prof abadili mfumo wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Prof Ndalichako mi nitamkubali kuwa ana nia kweli ya kuboresha ELIMU ya nchi iwapo atafanya yafuatayo kwa uchache wake: 1. MITIHANI YA KUHITIMU DARASA LA SABA. Prof abadili mfumo wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasulisha hii mada, ili tujadili humu JF kwa kina, simulizi ya Christian Bwaya, ndani makala ya kichwa cha habari hapo. Makala yake imechapishwa kwenye Gazeti la Mwananchi, Jumanne Oktoba 10...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nataka kusoma nje ya nchi koz ya nursing je ni vitu gani inatakiwa niwe navyo ushauri jamani
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa nimesikitika kuona utitiri wa madogo bado wanaigombania BAED hivi wameyasikia matangazo kweli ya mkulu. Kwa nini usomee course ya unemployment? Kwa nini watu hawana...
9 Reactions
57 Replies
7K Views
Natumai nyote ni wazima wa afya na kwa wale ambao wanaugua ninawapa pole na mungu awape afya njema ili wapate kuendelea an majukumu yao ya kila siku. Baada ya hayo napenda kuleta kwenu uzi huu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau kwa wale waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu siku kadhaa zilizopita kama kuna mtu ameshadownload au anaejua jinsi ya kupata join instructions ya chuo anisaidie. Kwa maelezo kutoka...
0 Reactions
77 Replies
21K Views
Back
Top Bottom