Wakuu habari zenu,,, natumai mu wazima na mnaendelea na shughuli za kulijenga Taifa.
Naomba mwenye Audio ya huu wimbo anisaidie kuipata.
"Tazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na...
Nilimaliza form 4 mwaka 2012 ,kutokana na matokeo yale nilipata div4 ya 28 .Matokeo hayo yalinikatisha tamaa kiukweli sio siri.2014 nkaenda soma special course ya ualimu wa private na kumaliza...
Habari za majukumu wadau wa jukwaa la elimu, kama kichwa kinavojieleza, naombeni yeyote mwenye sample ya lesson plan anisaidie. Natanguliza shukrani kwenu.
Wakuu habari za asubuhi nilikuwa naomba msaada nimechaguliwa chuo cha mipango dodoma lakin nimeandikiwa not approved due to not meet minimum point of program niliwasiliana na chuo wakasema ni...
Waziri wa mpya wa TAMISEMI, Selemani Jafo ameagiza Wanafunzi wa shule za Serikali kufanya mitihani ya mchujo kabla ya kupandishwa vidato.
===========
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
I own Kluger, 3000cc, 1998 model. The check engine sign and VSC sign have been appearing on a car's dash board after driving about 15 to 20km. My technician thought that it was the issue of...
Hivi jamani huko mashuleni hasa secondary huwa hakuna siku ya ukaguzi wa kushtukiza maana unakuta mwanafunzi anaenda na simu shuleni bila wasi wasi na wengine unakutana nao kwenye daladala...
Nahitaji kusoma software code kupitia youtube anaejua aweze kwanza kunifafanulia ni nn software code na inafaida gani kusoma pia ukisoma kupitia youtube bila kuwa na cheti badae itakusaidia vp...
Ndugu wanajamvi! Kabla ya yote niwasalimu!
Natumai mpo salama Na mnaendelea kupambana Na ujenzi wa taifa!
Baada ya salamu...
Niende moja kwa moja kwenye mada/swali.
Ni kama mada...
Ninawatafuta wale jamaa wanaotafutia vyuo au shule wanafunzi wanaoenda kusoma nje wao wanalipa ada kisha muhusika anakuwa anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo nataka nafasi za vyuo au shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.