Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ukitaka kufungua blog lazima ulipie domain name na web hosting kwa wale ndo kwanza wanaanza kujikita katika tasnia hiyo vipi utalipia. Naomba kuwasilisha !!!
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Log in kwa username jaza namba yako ya form4 Password jina lako la mwisho kwa herufi ndogo http://aris.mzumbe.ac.tz:8080/login
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mhhmmmmmmm kazcipo
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Kwa utafiti uliofanywa GPA kubwa zilizo nyingi chuoni ni za vijana waliotoka shule za kata Hongereni vijana wangu.
17 Reactions
120 Replies
15K Views
Naomba kufahamixhwa kuhusu post za awamu ya pil ya vyuo vya diploma na chsti
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Habarini za weekend, naamini mmejiandaa vyema kesho kuanza kazi. Wapendwa jana katika pilika pilika za weekend nikapata call mpya, akajitambulisha ni rafiki yangu aliliwa kichwa miaka hiyo tukiwa...
19 Reactions
29 Replies
3K Views
habari wanaJf!! Kumekuwa na mkanganyiko sana wa hawa watu wa maabara kati ya wanao fanya kazi ya Medical/ Industrial/Research/School Laboratory au wanafunzi wanao somea fani ya maabara kati ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiufupi ni kwamba ninaitaji kuomba kazi ktk career isiyo yangu( nisiyosomea)sasa nimeambiwa nipeleke C.V ndo nimepata utata je niandae kulingana na career niliyosomea au laah?naombeni ushauri wenu,
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari za mda huu. naomba kwa aliefanya field kwenye kampuni ya amazing solutions iliyopo sinza dar es salaam anitafute plz 0759808457. Ni kwajili yya maswal ya elimu tu. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa mwenye taarifa kuhusu vyuo vilivyotoa majina ya second round anijuze au wanatoa lini yani hapa ndoto zimepotea kabisa,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi mwl jackson L basigwa nipo halmashauri ya kasulu natafta wa kubadirishana vituo vya kazi anaetoka kati ya mkoa wa mara,mbeya,morogoro na katavi idara elimu msingi..Phone 0753482907
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Njoo kasulu dc nami mkoa wa mara wilaya ya bunda idara elimu msingi simu 0753482907
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaaaaaaaaani huyu mungu wajabu sana
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nyerere washaachia second BATCH::
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu ninaomba ambaye anauelewa juu ya kozi ya [bachelor of arts in translation and interpretation] anijuze juu ya haya mambo yafuatayo hata kama sio yote kama unauelewa walau juu ya moja wapo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naitaji mtu yoyote anayeweza kuzungumza na kuwandika kufaransa ili tuweze kuzungumza namba yangu 0713503753
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Elimu ni jambo la msingi kwa mtu yeyote yule, pasipo kujali hali ya maumbile au ulemavu wowote ule. Japo kuwa kuna watoto wengi ambao wametaabika wasipate mtu au mwalimu aliye na uzoefu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
HESLB imesema iligundua vyeti hivyo ilipokuwa ikihakiki uhalali wa sifa za wanafunzi walioomba mikopo, baada ya kuvipeleka kwa Msajili wa Vizazi na Vifo (RITA) kwa uthibitisho. Vilikanwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
TIA
Eti Diploma second selection tia wameshatoa majina? Kwa anayejua anijuze
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Back
Top Bottom