Natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje dar es salaam mimi niende morogoro.
Kada elimu sekondari
Nipo wilaya ya Ubungo
Kama yeye atakuwa wilaya ya mvomero itakuwa poa ndio wilaya ninayotaka...
Jamni kwa niaba ya wanafunzi wenzangu mbona matokeo hayatoki kama walivyo sema ama huku nilipo system sio nzuri?
Naomba kujua kama yametoka ama bado asante natangulia salamu kwenu Mungu...
Ana perfomance nzuri CBG, ameomba chuo mwenge na UDOM mpaka sasa hatujaona chuo alichopangiwa. Je mtu anaweza pewa mkopo bila chuo? Ni njia ipi tunaweza tumia kujua chuo alichopangiwa? Vyuo hivyo...
Wakuu, zikiwa zimebaki siku tatu (3) tu TCU ifunge awamu ya Pili ya Udahili Vyuo vikuu UDOM bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo hicho kwa mwaka 2017/18 na hakuna maelezo...
Wadau,
Hii katakata umeme wakati watoto wetu wanajiandaa na mtihani wa kidato cha IV kulikoni?
TANESCO mnampango gani na watoto wetu wa kidato cha nne. Au ndo program yenu ya kisiri ya...
Huyu rais sijui mwepesi sana kusahau au tu anafanya makusudi yani ni miaka miwili tu alipoingia madarakani amesahau ahadi zake! Au ndiyo zilikuwa ahadi hewa?
Mikopo elimu ya juu jamaa huyu...
Habari wakuu!
Jina la mdogo wangu lipo kwenye orodha ya waliopata mkopo batch two. Naomba mwenye access nzuri ya mtandao anisaidie kuingia kwenye akaunti kisha anitumie hapa mchanganuo wa mkopo...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu naomba kujua shule za binafsi zenye kutoa elimu nzuri kwa mwanafunzi kielimu, kimaadili, n. K.
Pia ada zao kama mwanafunzi atakaa shuleni (bweni) kwa...
Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi...
Mm nmechaguliwa udsm nikasomee .bachelor of commerce in touris. And then udom wamenchagua bachelor of art in economics and statistics naomba ushauri wenu niende chuo gani..?
Habari zatu waungwana ..
Leo nimejimovuzisha hapa ili nijaribu kuweka mambo fulani - alafu kwa wale watakaoguswa waweze kuchangia ili tuboreshe elimu na maarifa kwa vijana wetu.
1. Napenda...
Habarini za asubuhi...
Tanzania tuna utajiri wa watu wenye uwezo wa kuandika mada mbalimbali katika vitabu ila hawajafanya hivyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na woga wa kuthubutu...
Nimeangalia matokeo ya waliokata rufaa ya matokeo yaliyotolewa na NECTA kidato cha sita mwaka 2017.
Naona ni kama hakuna aliyebadilishiwa matokeo. Je wanaokata rufaa mko makini au huwa mnajaribu...
samahani wakuu, naomba kuuliza kati ya hizi koz mbili mnanishauri nisome ipi? Maana nimechaguliwa medical lab-udom lakn kuna wadau wananiambia nikasome Pharmacy.
Tafadhar naombeni mnifumbue macho...
Habari za mchana waungwana,amechaguliwa course ya Bsc in Agricultural and natural resources economy and business ya UDSM na Agricultural economy and agribusiness ya SUA.anaweza kwenda chuo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.