Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wasalaam wadau, Naomba ujuzi wenu na techniques ambazo naweza tumia kama mhitimu wa masters, MBA kuweza pata sponsorship au hata scholarship kwa ajili ya masomo ya PhD nje ya nchi, Asia, Europe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku waungwana! Waungwana mimi ni kijana wa kitanzania, umri ni late 20 kwa hivi sasa, kielimu nina shahada ya uzamili, ninapenda na ninaplan ya kufanya shahada ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naconfirm vipi Ardhi university mbona sioni mahali pa kuconfirm nikifungua account yangu... Nmekuta jina langu kwenye multiple selections...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naona udom wameachia ila napata tabu kufungua plz mwenye link anitumie tofauti na yao.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi nimechaguliwa chuo cha ardhi kozi ya building economy kutokana na kutemwa kozi kibao nilizoziomba vyuo tofauti tofauti nimeamua nikasomee hii hii kozi ya building economy niliyochaguliwa...
1 Reactions
4 Replies
826 Views
Samahani wadau..naomba kuuliza ni course ipi kwa ngazi ya barchelor anaweza kusoma mtu aliyesoma diploma in water quality laboratory technology...ahsante
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu wa JF... Naomba kupata ufafanuzi juu ya hizo degree programme tajwa hapo Juu maana kuna dogo langu mmoja kachaguliwa hiyo ya bachelor in environmental science anataka kujua utofauti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watahiniwa 385,938 wanatarajiwa kutafanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne nchini. Akizungumza leo Jumapili, Oktoba 29,2017 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama umechaguliwa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM), Kama ndugu yako au rafiki au jamaa yupo udsm fresher. Na kama amechukua admission form yake pale udsm nkrumah hall. Sasa anaweza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu samahani nikichaguliwa Tumaini Makumira Dar es Salaam College second batch ila nilikuwa na multiple selection nikaconfirm Tumaini Hadi leo hawajatoa kama tumekuwa approved na TCU Msaada...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Leo ni siku ya tatu hivi, ninajaribu kuingia kwenye profile yangu ili nijue nimepata asimilia ngapi ya mkopo lakini cha ajabu link ya HESLB haifunguki. Jamani naomba mnisaidie hii ishu maana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
msaada jamani kuhusu hii kozi kwa aliekuwa anaisoma au anaeisoma au anaejua chochote kuhusu hii kozi vp inahusika vipi na mazingira ?? unafanyakazi sehemu zipi ?? je inawezekana kujiajiri?? na je...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jf,poleni na majukumu ya kulikomboa Taifa letu pendwa Tanzania Ni hivi juzi kati niliomba kudahiliwa vyuo vitatu UDOM MUHIMBILI NA SUA, katika awamu ya kwanza nilifanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nitafute nikupe Chumba kikubwa karibu kabisa na chuo dk 2 unafka chuoni bei nzuri maji yapo geti na umeme wahi haraka 0768007733
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1: kuzidisha namba kubwa kwa haraka. Kama namba zipo chini ya 100 basi chukua 100 toa hizo namba alafu jumla ya majibu yake tolea 100 hio itakua ni namba ya kwanza ya jibu lakini pia chukua hizo...
4 Reactions
33 Replies
17K Views
Wadau natafuta walimu wazoefu wa kufundisha somo la computer kwa o level tusaidiane kupata soft copy za notes maana hili somo lina changamoto sana kwenye vitabu. Asante
1 Reactions
0 Replies
3K Views
habari wanajamvi, naomba kwa anaejua anitajie bei ya vitabu hivi vya kiada form 3 na form 4, nataka nimnunulie mtoto wa dada yangu 1.chemistry form 3 na form 4 2. biology form 3 na 4 3...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauliza kama umepata mkopo utahitajika kulipia hostel au wanakata kwenye hela ya mkopo? Kama ndivyo kwahiyo nachotakiwa kufanya ni kwenda mimi kama mimi na vyeti pekee ili nipate hostel au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, ningependa kujua ni hatua gani anazopitia graduate engineer hadi awe registered kama proffessional? Na je huchukua miaka mingapi? Graduate afanyaje kama anataka kuwahi kuwa registered?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom