Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa mujibu wa wanafunzi wa chuo kikuu cha newcastle cha nchini uingereza kupitia utafiti wao, walibaini kuwa idadi ya bacteria waliopo katika kinywa cha binadamu ni zaidi ya idadi ya binadamu wote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu kwenu Mimi ni mmoja wa waliokosa mkopo heslb Naomba kuuliza kwa mnufaika yeyote WA mkopo toka heslb anijuze au anishauri niombe au laah
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four, walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mitihani. Hivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu. Mimi...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Majibu ya mikopo kutoka kwa wazir.Mh.Mama Ndalichako. 1.TSNP tulikuwa tunapinga vyuo kudahili baadaye ,kusema Nafasi zimejaa Mfano.chuo cha mwenge university. Ambapo kama mnakumbuka tuliandika...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mwenye uelewa mzr kuna dogo anataka hama chuo,kweny chuo anachotaka hama hajapewa uhakika wa kupata chuo na ukiangalia chuo alichopangiwa mda unakaribia isha wa regstration sa ili kilinda...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Tanzania ya viwonder WANAFUNZI 31,000 KUKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM WANAFUNZI zaidi ya 61,000 wamewasilisha maombi ya mikopo katika Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi...
10 Reactions
104 Replies
21K Views
Jamani vijana huu ndo wakati wa kujiongeza mana tuna Sera ya hapa kazi tuu na viwanda kwanza. Vijana tujipanage tujue jinsi ya kupata Mkopo toka serikalini tuwekeze kwenye kilimo na viwanda vidogo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mimi ni muhitimu kidato cha sita mwaka 2017 kwa bahati mbaya nimepata Div.3.14 yaani DEE mchepuo wa CBG kwa bahati mbaya sina sifa za kujiunga katika ngazi ya degree kwenye chochote hapa nchini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa wenye kujua mahali kuna maticha wazuri wa kufundisha tyusheni ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology ya kidato cha 5 na 6 katika jiji la Mwanza wakati wa likizo naomba wanifahamishe.
0 Reactions
2 Replies
700 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMTULLAAHI WABARAKAATUH Na'am, Leo Tutajifunzza NJIA RAHISI YA KUPATA JIBU LA SWALI LOLOTE LA MATHEMATICS (step BY step) MAHITAJI 1.SmartPhone 2.MBs Kadhaa 3. Browser...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Ndugu zangu wale waliochaguliwa IFM bachelor of taxation and management tukutane hapa tupeane updates and other information kuhusu chuo, kozi na mambo mengine ya maendeleo... Asanteni!!
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Salaaam sana wakuu!! Bila kupoteza mda naomba msaada kwa aliye na mwlawasiliano yeyote yale kutoka shule ya secondary Mlongwena iliyopo Lushoto Tanga kwani kuna jamaaa anahitaji aombe nafasi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi gpa ya kwenda kusoma digrii kutokea diploma wanaangalia gpa ya mwisho au wastani wa gpa kutoka mwaka wa kwanza hadi wa tatu
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Suala nililoliandika katika barua yangu ya wazi kwa mh.Naibu waziri wa elimu.Ole Nasha juu ya idadi kubwa ya wanafunzi kukosa mkopo na vyuo kutoruhusu wanafunzi kufanya usajili hadi walipe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu. Kuna mdogo wangu amechaguliwa kujiunga katika chuo cha private hapa dar es salaam, amesha-confirm na kashalipa nusu ya ada kwa ajili ya usajili na ameshasajiliwa. Sasa tatizo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hiii ndio ilikua post yangu kabla ya kupangiwa ajira yangu mwaka 2015. "My name is Sir Chichi, I will be with you in English and History. I need your cooperation, thenk yuu pwaa pwaaaaa."...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ibane matumizi kwa kuzipa kazi benki za NMB na CRDB kazi ya kukopesha na kudai madeni madeni ya wanafunzi. Benki zina utaalam zaidi wa kukopesha na kudai madeni kwa wanafunzi kuliko watu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani wanaJF. Naombeni ushauri mimi mwaka wa kwanza, naombeni mnishauri kwa mchepuo wa HGL. Nisome vipindi gani chuo maana wanasema geography na language ni ngumu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, ) Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijasikia maandamano ya wanavyuo kuelekea HELSB kudai fedha za mikopo ya elimu ya juu. Hii ilikuwa ni kero kuu iliyokuwa inapelekea kuibua migomo ya mara kwa...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Back
Top Bottom