Jamani hivi mnaionaje degeree ya miaka hii??
Mimi naona kama imechuja sana haina makali kama miaka ya nyuma, uzito wa degree ya sasa inavyochukuliwa mtaani ni sawa na uzito wa anaehitimu form...
Wakuu mlioko kwenye system,mnaonaje hali ya sasa kwa ajira na fursa katika kada hii,bado zipo open?,au watu ambao wanasoma saivi waanze kujiandaa kisaikolojia kuwa mambo sio rahisi?.
Habarini wadau wa Jamiiforums naomba kuuliza hivi fani ya mitambo au ufundi mitambo unaotolewa VETA Chang'ombe ni fani inayohusu kutengeneza au kujifunza mitambo kama ipi naomba msaada wenu
Ni wiki sasa mtandao wa wanafunzi Tanzania(TSNP) tumekuwa tukipata malalamiko kutoka chuo cha IFM juu ya kutoingiziwa fedha zao pamoja na karatasi za kusaini hadi sasa.
Kubwa zaidi chuo hicho...
Habari wana jamvi?!.naomba kuuliza kwa mfano nataka kuhama chuo labda kutoka Udsm kwenda mzumbe ,Na huku udsm nmeshachukua boom tayari kabla ya kuhama .. je Kuna uwezekano wa mkopo wangu uliobaki...
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2009, ila kiukweli nilikua napokea mkopo toka HELSB 60%, ilikua ndogo ila ilivuta mpaka miaka mitatu ikaisha. Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi...
PINDUA PINDUA UNIVERSITY CONCERT
Wizara Ya Michezo na Burudani TuMaSo inapenda KUWAKARIBISHA Jumuiya ya WanaTuMa wote, Vyuo Jirani katika Vodacom University Concert itakayofanyika siku ya tarehe...
Nimejaribu kufanya installation ya Tv na aking'amuzi cha Star Times outdoor antenna, channel zinaoneka zikiwa in black and white, na haitoi sauti. Tatizo linaweza kuwa wapi ?
Mimi ni mwanafunzi wa university ni mwaka wa 3 nimekataliwa research proposal mara 5, naombeni msaada wa research title kila awamu naambiwa problem is already known sasa hadi nashindwa kujua...
Salam kwenu wakuu, hii kero ya usafiri kwa wanafunzi wa UDOM inaelekea kua sugu sasa, utaratibu mbovu wa stendi ya daladala Jamatini umekua ukichangia pia kero hii kwa kiasi kikubwa,
Nashauri...
Elimu yangu n form IV nilimaliza mwaka 2004 na kuscore div four ya 27.
Ninaomba msaada wa kujua njia za kupata chuo cha IT ndani ya mkoa wa dar es salaam kwani ninaujuzi wa computer na ninahitaji...
Jiandikishe kusomea shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu Middlesex (London, Malta, Dubai, Mauritius).
Middlesex University imekuwa ikielimisha wanafunzi kwa karibu miaka 140. Tangu kuanzishwa kwa...
Wakuu Nili chaguliwa SUA course ya Agricultural Engineering NA IFM course ya Actuarial science 2017/2018.kutokana na kuwa multiple selection nili confirm SUA kutokana na ushauri wa watu wa karibu...
Wakuu Nili chaguliwa SUA course ya Agricultural Engineering NA IFM course ya Actuarial science 2017/2018.kutokana na kuwa multiple selection nili confirm SUA kutokana na ushauri wa watu wa karibu...
Wakuu wana jukwaa nimesikia mahojiano kati ya mwanafunzi mhitimu wa chuo hicho cha sayansi ya afya ST. AGGREY na radio moja jijini Mbeya anadai kuwa ni mwaka wa tatu mpaka sasa wana dai vyeti vyao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.