Wadau nazani mko njema katika mihangaiko ya kimaisha ikiwa ni pamoja na vyuma kukaza.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuomba msaada wa mambo ya research.
Mimi ni third year hapa UDSM so...
Wadau habari zenu? Mwalimu akiomba ruhusa kwenda masomoni akanyimwa akaamua kujiruhusu akaenda masomoni akirudi atakuwa amesimamishiwa mshahara je inawezekana akarudishwa tena kazini na kuanza...
Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote.
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa...
Hakika Uongozi wa Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM) umekuwa unawasumbua wahitimu kupata Vyeti vyeo. Usumbufu umekuwa Mkubwa na sababu wanayotoa kila ukifuatili ni System inasumbua.
Najiuliza...
O level haikua hivi, Maisha tulioish O-Level na rafiki yangu yalibadilika kabisa advance , kila mtu alijifanya mchungaji, sheikh, muumin wa kweli.
Nilidhani ni shule yangu tu ila nikajaona maeneo...
Habarini za leo, Natumai mko poa na siku inaenda vizuri.
Mimi ni mdau mzuri tu wa jukwaa hili na mara nyingi huwa napitia hapa kujifunza baadhi ya mambo.
Leo nimekuja na hitaji langu kama kichwa...
Heshima kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kupata mwanga kuhusu nafasi za masomo na udhamini hasa kwenye ngazi ya Phd kwenye vyuo vikuu vya nchini Canada.
Kwa yeyote mwenye...
Kulingana na international zigzag line yako maeneo ambayo huwahi kuzifikia siku na maeneo megine huchelewa.
Je kuna maeneo ambayo mpaka sasa yamefikia siku ya krisimasi na mwaka mpya?
Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA.
Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida...
hello good people
naomba mwenye kujua link/website yeyote ambayo naweza download vitabu mbalimbali vya college department ya community development anisaidie
Hello!
Ukitazama wahitimu wa ngazi mbalimbali wanavyohangaika kujaza mafomu marefu marefu ili kuomba mkopo wa HESLB, unaishia kuona tu huruma.
Ukweli ni kuwa vigezo na masharti magumu yalowekwa...
Hi guys! Mimi ninekuwa nikitamani siku nyingi sana kusoma nje ya nchi Masters degree ila kuna suala linanitatiza sana kuhusu IELTS (International English Language Testing System) sijajua naweza...
Bodi mikopo Tanzania tunaomba mshughulikie tatizo la mikopo ya wanafunzi walioenda chuo tofauti na allocation za mikopo yao. Nilifarijika baada ya kumsikiliza Mh. aliyetoa taarifa kuwa...
Wakuu salama,
Baada ya kumaliza chuo nimeona ajira ngumu nikaona nijikite kwenye uproducer wa music kwani ndo kitu. Ninachopenda sasa baada ya kujifunza vizuri kupiga kinanda na instrumental...
Kama uzi unavyojieleza apo ninusuru ewe Rafiki yangu, ndugu yangu, mwanafunzi mwenzangu, kaka yangu, dada yangu. Kutoka moyoni nimeshindwa kuelewa hii kozi na mbaya zaidi tumetangaziwa test.
Ombi...
Taasisi ya Twaweza kupitia mradi wa KiuFunza (Kiu ya Kujifunza) ambao unatekelezwa kwa miaka 5 unalenga kumfikia mwalimu mmoja mmoja ambaye anaonyesha juhudi za makusudi kuwafundisha wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.