Wakuu kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo juu,
Tuliokosea kulipa pesa za form za mikopo ya elimu ya juu, tuliambiwa tuandike barua ziende HESLB ili tuludishiwe pesa zetu, tukaambiwa mwezi...
Bodi ya mikopo yawajia juu wadaiwa sugu hili swala ni gumu jaman wadaiwa sugu tupo mtaani mwaka wa saba Ajira hakuna,ingependeza sana bodi ya mikopo ikashirikiana na serikali kuwapatia ajira...
Jaman hivi hizi dawa za
PrEP = Pre Exposure Prophylaxis na PEP = Post Exposure Prophylaxis
zinapatikana hapa tanzania?
kwa anaejua naomba anielekeze zinapatikana wapi.
nna hitaji tu kujua...
Nilikuwa nabishana na jamaa zangu hapa kuhusi yupi bora zaidi aliesoma diploma mbili za fani tofauti au aliesoma shahada ya fani moja kwa mfano mtu alianza kusoma diploma ya ustawi wa jamii halafu...
Habari zenu wana jf, naomba kufahamishwa gharama za ada kwa level ya masters katika chuo kikuu huria cha Tanzania.Mimi nataka kusoma kwa mfumo Wa masafa yaani kwa kimombo distance learning.kwa...
Wanabodi, habari za mwaka jana,
Kila atakayepata nafasi ya kuongea na vijana wanaosoma vyuo awakumbushe ya kwamba maisha wanaoyodhani watayapata baada ya kuhitimu ni dhahania, wakumbusheni...
Ndugu zangu naomba msaada wa mbao za kufundishia kwa chaki ( movable blackboards zinauzwa wapi na sh. Ngapi). Nia malengo ya kusajili na kufungua tuition center.
Kuna baadhi ya vyuo wanafunzi hawajaingiziwa boom la kwanza mpaka tarehe ya leo tunaomba Prof. Ndalichako lile darubini lako litufikie huku Central zone tunaumia sana hali ngumu kila siku kesho...
Top 8 Countries with the Highest Paying Jobs in Africa
By
Africa-ontherise
-
Oct 28, 2017
By Steve Siboe
If you’re searching where in Africa you can find well-paying jobs, it’s always...
Boss wa TCU usipofanya kazi kwa ubunifu na SPEED ya awamu hii naona njia yako ipo WAZI.
Nasema haya bila fitna wala chembe ya uonevu;
1. Vyuo vikuu visivyo na sifa bado vipo na vinadahili...
Wakuu naomba kufahamu kama nitajitahidi kuwekeza na kujiajiri katika uanzishaji wa shule ya awali. Kama kuna sheria na kanuni zozote ambazo zinatakiwa kufuatwa naomba kufahamishwa hapa. Pia msaada...
Habari wana jukwaa!
Kuna ujumbe huu unawachangaya wanafunzi, na wengi wao wameshindwa kuuelewa!
Sasa sijui ndio tayari yameanza yale ya Wanafunzi kukimbizana na serikali!!
⭐ TANGAZO....TANGAZO⭐...
Habari za mwaka mpya wanajukwaa.
Husika na somo tajwa, mimi ni baba mzazi wa mwanafunzi ambaye alihitimu darasa la saba nikiwa naishi Dar nikifanya biashara ndogondogo kwa bahati nzuri mwanangu...
HABARINI ZA ASUBUHI WADAU!!
Kama kichwa cha habari hapo juu tajwa!¡ Wenyekiti wa serikali za mitaa wanalazimisha watumishi wa umma wachangie michango ya ujenzi wa shule ilihali huyu mtumishi wa...
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni...
Habari wana ndugu, kuna swali ambalo ningeomba kwa wale wataalamu wa Educational Management and Administration, kwa wale waliosoma Course ya Education UDSM ni EA300 ila kwa vyuo vingine sijui...
Nipo Makambako ni mwalimu wa Sanaa. Tumeshasota mtaani vya kutosha. Niliamua kufanya utafiti kuhusu Huduma ya tuition kwa wanafunzi wa QT, PC na computer application.
Site IPO nzuri kabisa. Na...
Naombeni mnaojua kwa mtu ambaye hajakidhi kigezo cha kujiunga na masters atafanyaje ili aweze kusoma/kujiendeleza katika chuo chochote hata kama open university.
Na kama nikupitia postgraduate...
Kheri ya mwaka mpya wanajamvi.
Nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayoipenda yaani mechanics sasa sijui kwa elimu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.