Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nafasi kumi za wanafunzi wa PC (private candidates ) zinapatikana ni kwa wale wa mkoa wa Kagera (Missenyi) walimu wapo wa masomo yote Mawasiliano 0762125819
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji mtu anaesoma (au ako na connnections) in one of the following colleges The Amazon College The Global College Excellent College of Health and Allied Sciences
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kujua majina ya uhamisho kwa watumishi mikoa mingine awamu ya pili yanatoka lini
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ukitaka kuandika swali la kihesabu kwenye mtandao/website pamoja na zile symbols zinazotumika kwenye hesabu kwa lengo la kupata solutions kwenye mtandao unafanyaje?NISAIDIENI JAMANI NINA MASWALI...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari zetu? Najua kila mtu humu alikuwa ana ndoto zake alipo kuwa mtoto ,anataka kuwa mtu fulani kulingana kwamba alivyomwona au alisimuliwa story akapenda. Mimi nilivyokuwa mdogo...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi. Naomba mwenye kitabu kiitwacho: WAAFRIKA NDIVYO WALIVYO kilichoandikwa na Dr. Malima Bundala anisaidie tafadhali. Hata kuelekezwa ni wapi naweza kukipata itafaa pia.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SHULE ZENYE BEI KUBWA TANZANIA 10. Morogoro International School (MIS) Katika Shule ya MIS ada yake kwa mwanafunzi ni kati ya Sh 4.4 Milioni kwa shule ya Chekechea na Sh 17 milioni kwa elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakubwa Nisaidien nataka kurudi Shuleni Kidato cha pili Nisaidieni Vigezo ninavyotakiwa kuwa navyo
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau mnaojua sababu tusaidiane
0 Reactions
15 Replies
2K Views
My name is Joseph, am here by to find someone or company or organization or any kind of NGO'S to finance me on pilot course. If there is also a scholarship for pilot please alert me at these...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Waungwa habari za Jumapili, poleni na pilikapilika Kama kichwa cha habari kinavyoelezea, Naombeni anayesoma au anayefahamu mtu anayesoma chuo tajwa hapo juu anaisaidie mawasiliano yake nataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa nia njema kabisa niwapongeze kwa kazi yenu ya kuelimisha, lakini kwa alichofanya mwalimu wenu au kiongozi wa msafara wa wanafunzi waliotoka Dar leo tarehe 12,1,2018 sio cha busara kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwalimu anatafuta wa kubsilishna kituo cha kazi yupo Kagera Kyerwa Idara msingi anataka kwenda TABORA KATAVI-MPANDA RUKWA MBEYA SONGWE AU IRINGA CONT:0767854687 Au Pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2017 yalitangazwa tarehe 8/1/2017. Matokeo hayo yanaonesha ufaulu mzuri kwa shule za binafsi kuliko shule za umma kwani kati ya shule kumi zilizofanya vizuri...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wadau, naulizia Kama UDSM au Chuo chochote hapa chini kinachotoa KOZI fupi ya ujasilia Mali.anisadie kunambia utaratibu wa kujiunga.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar za saiz waungwan polen na majukumu naomba kuuliza mhitimu wa ngaz ya diploma anauwezo wa kusoma CPA??
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Popote mlipo, kwa anayefahamu namna ya kuandika swali la hesabu kwenye mtandao anisaidie wadau, maana ninashindwa kwa sababu ya alama za hesabu mfano integral sign, etc
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg wanabodi sisi wazazi tunatakiwa kuwalinda na kuwaelimisha watoto kadri Mungu anavyotujaalia.Hivi karibuni imeibuka tabia ya hizi shule zinazoitwa English Medium, academy au vyovyote ziitwavyo...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Habar naomba kujua gharama za certificate kwa course ya IT pale UDSM. pia vigezo Mimi nina D3 NA B1 katka mtihani Wa form 4. Pia natamani kujua jinsi ya Ku apply na wakati gani wanaaza au vyuo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Manispaa ya Bukoba imeongoza tena kwa Mara nyingine katika matokeo ya kidato cha pili 2017 yaliyotangazwa jana na NECTA. Mwaka 2016 ilikuwa ya kwanza kitaifa na mwaka 2017 imekuwa ya kwanza tena...
8 Reactions
87 Replies
10K Views
Back
Top Bottom