Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Asanten nilifanikiwa na sasa ninasoma na samahann kwa kuchelewa kwa kuwa nilikuwa busy
1 Reactions
0 Replies
571 Views
"Nakumbuka shuleni tulisoma dunia inajizungusha" bwana we mtaongezea maneno siunajua enzi zetu divison5 @ naomba msaada kwa nini hatuhisi kuzunguka? Kwa nini maji hayamwagiki baharini? Kwanini...
5 Reactions
87 Replies
13K Views
Habari zenu wana jamvi na poleni na machofu ya mchana kutwa... Kama kichwa cha habari kinavojieleza, naomba kujuwa kuhusu fani ya urubani gharama zake mpaka kufikia rubani wa ndege za umma katika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimesoma combination ya HGL. Ni kozi gani naweza soma? Ambazo ni nzuri Kwa maisha haya ya Tanzania
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Maagizo ya sasa ni kwamba Kama kuna mzazi ambae anataka kujitolea kutoa mchango wa kuisaidia shule fulani kwenye jambo lolote mchango wake huo upelekwe moja kwa moja na upokelewe na Mkurugenzi...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Samahanini wakubwa, vipi dirisha la kudahili wanafunzi kwa mwezi machi limeshafunguliwa? Naomba tujuzane maana wengine tupo vijijini. Ahsanteni! Mwaka wa masomo 2017/2018
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Jamani majina ya uhamisho yametoka leo lakini bado yameacha maswali kwani ni machache sana na ni mikoa tisa tu ambayo ni Dar, Tabora, Geita, Mara, Moro, Simiyu, Mbeya, Kigoma na Kilimanjaro. Hata...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Jamani hizi shule za English medium zinajisahau sana kwa kulewa sifa. Mfano St. Lawrence imepoteza sifa mpaka inakufa sasa. Blessed Hill sasa nayo inaelekea kufa kwa sababu dawati moja wanakaa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Refer the heading above kuna project nafanya nahitaji hivyo vitu apo wale mliopitia hizo shule nisaidieni
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Taifa letu Tanzania nadhani ni Taifa la kwanza duniani kwa kuongoza kupeleka wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika sekondari; lakini pia kuchezea akili za wananchi wake katika masuala ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
When will form four results ( 2017)be out??
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya CHAKULA kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza. Kuna wazazi walijiwekea...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Why Should Teams Build Their Emotional Intelligence? No one would dispute the importance of making teams work more effectively. But most research about how to do so has focused on identifying the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LESSON; NGUVU ILIYOJIFICHA NYUMA YA KITENDO CHA KUTENGA MUDA WA KUWA PEKE YAKO (ALONENESS). Ni siku nyingine tena mwalimu anakualika kuendelea kupata chakula cha akili, ni imani ya mwalimu kuwa u...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada wa aliemaliza 4m6 mwaka jana akasomee nini mwaka huu kwa ngaz ya dipl au dgr????
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu habari zenu Mimi nahitaji kusoma Air Traffic Controller Certificate ama dispatcher certificate hapa Tanzania. Naomba mwenye ufahamu anisaidie ni college ipi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu nifanyenini ili nifanye vizuri katika mtihani wangu wa kidato cha sita niko kombi ya PCB na apa. Kichwani sina kitu saa nifanye nini ili nipate ata division three
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna application zimetoka mahali sa jamaa yangu anataka kuapply ila anashidwa sbb ya cheti chake cha form 4 kimepotea.ila vya form six,chuo vyote vipo na qualifications nyingine pia .ivi inakuaje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtoto wangu alifanya vibaya mtihani wa kidato cha nne , sasa yupo anajipanga kufanya mtihani kama private candidate, masomo atakayorudia ni History, Geography, Kiswahili na Civics, nataka...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wanasema taarifa zang za chuo nilichosoma hazipo kwenye data base yao me nilimaliza chuo 2012. Nianzie wapi kwa mwenye uelewa anisaidie??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom