Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za muda huu waungwana!.. Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu div 3 pt22 Phy=>C Bios=>C Chem=>C Math=>D Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F Nilichaguliwa...
3 Reactions
70 Replies
10K Views
HAKUNA SHORT KATI KWENYE ELIMU #Haya matokeo ya Kidato cha nne yamebeba mambo makuu 2 1. #SWALA LA UCHANGIAJI #Kwenye elimu hakuna Short Kati, swala la kupata elimu bora lina njia zake. Shule...
3 Reactions
5 Replies
959 Views
Habari wakubwa........? Naomba msaada namna ya ku badili degree nyingine ili ziwe kama bachelor of education. Examples BAAF, LLB and others
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa Anna Mshana kutoka shule ya wasichana ya Mariana iliyoko Mkoa wa pwani amesema mtoto wa kike ana uwezo wa kufanya vizuri kimasomo kama atajituma zaidi...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Naomba msaada kwa anayefahamu Ada ya chuo cha Unique Academy Kwa level ya Certificate & Diploma
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wakuu, naomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu, kinafundisha masomo kuanzia ngazi ya cheti,diploma,degree hadi Masters katika fani za IT,Hardware and Networking pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu, mdogo wangu amepata division 3 ya point 23, amemaliza kma private candidate..nauliza kuna uwezekano wa kupata selection kwenye shule za serikali?? Mwenye uelewa anisaidie please
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila taifa linajukumu la kusimamia elimu. Elimu ya nchi hutegemea kwanza public schools. Private ni kwa sababu maalum tu lakini nchi haiwezi kuinuka kuelimika kwa kutegemea private kwakua kwao...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Elizabeth Mangu, mshindi wa pili Kitaifa katika mitihani ya kidato cha nne amesema kumtanguliza Mungu katika kila kitu, ndoto ya kuwa wa kwanza, bidii kwenye masomo na usimamizi wa karibu wa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Wabari wapendwa. Nipo kwenu kwa wadau wa Elimu kuomba ushauri. Nina dadaangu wa damu kabisaaa ambae amekua akini sarport ktk masomo yangu, yaani amekua akinisaidia kwa kila kitu, kwanzia mambo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wana jf Ni kitambo sasa kimepita xijaonana na school mates wangu niliosoma nao BULYAGA PRIMARY SCHOOL TUKUYU MBEYA MWAKA 2001-2007, Kama mpo humu njooni pm tusalimiane maana ni muda kweli...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawashauri vijana wote mliomaliza kidato cha sita au Diploma , msikiombe chuo cha taifa cha usafilishaji yaani NIT cha hapa mabibo Dar es salaam kwani kwa atakayejichanganya kufanya hivyo atajuta...
21 Reactions
137 Replies
30K Views
Wadau hope mko salama, Naomba kama kuna aliyepata orodha ya walimu wanaoenda Primary kutoka Secondary anisaidie hapa. Najua JF huwa hakikosekani kitu. Matumbo joto hapa. Pia niliona kuna ka alama...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa yoyote anayejua, nimekutana na hii"DIPLOMA IN TEACHER EDUCATION WITH AN AVERAGE OF C GRADE"swali ni kwamba ili cheti kiwe na sifa hiyo inatakiwa uwe umepata alama zipi. Mwenye uelewa wa hilo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema mitihani ya kuhitimu kidato cha sita itaanza Mei 7 hadi 24, 2018. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Necta Januari 26, 2018 inaonyesha...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba mwenye Namba za utawala za shule ya secondary Lord Baden pow Tafadhali anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu anasomea sheria UDSM, yupo mwaka wa 2, of course tangu akiwa Advance alikuwa anapenda sana kusomea sheria. Sasa tatizo limekuja hivi karibuni anadai msuli wa sheria unataka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hivi ninajiulizanga kwa wale wana I soma fani telecom and electronics naonaga wanatebelea viwanja vya ndege je wanaendaga kufanya mini?
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Habari za humu ndani wana JF naomba mwenye waraka unao husu pangua pangua ya walimu wa secondary kwenda msingi anitumie : jeofreymtr@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom