Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Oi wana nategemea nyie ni wazima wa afya tele Ila naomba baadhi ya tips ambazo natakiwa Nipigie ili nivuke kidato cha sita nachukua mchepuo wa PCB na Nina C kwenye masomo ya combination Msaada...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika chuo cha teofilo kisanji mbeya.Katika hali isiyokuwa ya kawaida siku ya terehe 31/1/2018 mageti yote ya kuingilia chuoni yalifungwa na watu wa halmashauri...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Habar wanajamvi.. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza... Naomba msaada kwa wale ambao washawahi kununua vitabu online (kwa maana ya mtandaoni) wanisaidie namna ya kufanya..!maana sijawahi kabisa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajf ni matumain yngu kuwa wazima wa afya. Kama mada inavyojieleza hapo juu niko hapa naangalia ITV kipindi cha malumbano ya hoja mada ikihusu shule za serikali kufanya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama heading inavyojieleza hapo juu ningependa kupata ufahamu juu ya tofauti kati ya Embassy na High commission.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
People who are naturally gifted at writing essays and taking tests. This natural ability helps them breeze through primary education and gets them to elite colleges and universities. There, they...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Naomb kujua shule yenye mchepuo huo kwa mkoa wa mbeya yenye ufaulu mzuri kwa kidato cha sita pia na ada take isiwe ghari sana iwe ya kutwa na bweni
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Wanajamvi, salaam. Mimi ni mfanyakazi wa kitengo cha fedha katika shule moja Binafsi hapa Mbeya. Kwa muda sasa nimeona walimu hapa wakilalamika juu ya watoto wenye uelewa wa taratibu ( low...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta tution ya PRE FORM FIVE BIOLOGY Na CHEMISTRY ADVANCED LEVEL Arusha Mjini kwa Anayejua PM please
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian University Ranking
2 Reactions
0 Replies
38K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la Mweyenyezi Mungu. Nilipambana mpaka nikapata uhamisho ili niwe karibu na familia yangu. Lakini matarajio yangu yamekuwa kinyume. Nimeripot halmashauri afisa elim...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chinua Achebe is considered the father of African literature in English, the writer who 'opened the magic casements of African fiction' for an international readership. Following the 50th...
2 Reactions
0 Replies
576 Views
Anatia huruma sana huyu mama, uso umekuwa mdogo kama Nukta sasa hivi, anatamani abadilishie gia hewani lkn anaangalia kushoto na kulia anaona haiwezekani na kwahiyo anaamue afe na Tai Shingoni...
1 Reactions
1 Replies
752 Views
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenu jukwaani. Ktk kipindi cha mjadala jumatano jioni tarehe 10/01/2018, BBC radio walimulika mapenzi ktk vyuo vikuu baina ya wahadhiri wa kiume na mabinti wanafunzi. Watu walitiririka...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina cheti cha ualimu shule ya msingi Je! ninaweza kujiendeleza kwa kutumia cheti hicho kwenye fani nyingine ngazi ya diploma?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello guys, mwenye hivyo vitabu kwa mfumo wa softcopy please naomba uviweke humu iwe faida kwa wote.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukipitia hii syllabus ni nzuri sana imejaa topics ambazo kama kweli zingefundishwa kwa vijana wetu, wengi wao wangemaliza elimu ya kidato cha nne wakiwa na maarifa ya kutosha kuweza kujitegemea na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi kuna mdau alileta mada yenye kichwa cha habari kinachosomeka hivi Msitulaumu watu wa Lindi, Mtwara, Zanzibar, Tanga na Pwani kwamba tunafeli! Sababu ni hizi Kwa sasa Inasemekana kuwa Afisa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za jioni wana jamiiforums, kwanini hawa NACTE huchelewesha utoaji vyeti na hati za matokeo, uhakiki wa tuzo ni tatizo huchukua muda mrefu, au kuwaambia wanafunzi wafuate matokeo badala...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom