Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mapema mwezi Februari imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi na muda mrefu katika kada mbalimbali kutoka Serikali ya Jamhuri...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau Kama kuna mwenye materials ya advance kwa kombi ya EGM naomba anisaidie kuyaweka hapa au app tofauti na thl tafadhali Kwa msaada tu wala isiwe kuniuzia. Ahsante Kwa Moyo wa kusaidia wengine.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jaman wa jf hasa wenye upeo na hadhi ya vyuo vyetu hapa nchini ningependa kujua ubora wa hiki chuo cha kampala kilichopo dar es salaam.vp ukisoma unaweza uka compete na mtu aliyesoma mzumbe au udsm.??
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Habarini wana JF, namba mtu anayefahamu site yenye free templates, web source codes anitajie. Nilipata moja inaitwa sourcecodester ila wahindi mle wamefanya yao, unakuta code katikati imebanguliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf anayevijua vyuo vizuri vya kilimo na mifugo ngazi ya diploma na kozi Zinazotolewa msaada tafadhari.
1 Reactions
9 Replies
13K Views
Mwenye uelewa na kupanda kwa boom kwa wanachuo,huwa linaongezeka kila baada ya miaka mingapi? Kwa kuanza,miaka ya nyuma range ilikuwaje? Karibuni kwa mjadala,sina maana nataka wanachuo waongezewe boom
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habarini wana jf , Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili; 1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke 2. Sababu za...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu na wananchi wenzangu wa hiki jukwaa la kitaaluma habari za wikienda! pasipo kupoteza muda mimi si mwenyeji sana wa mtandao huu tukufu ila lengo la kuandaa huu uzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Habari zenu wana JF, Lengo la Thread hii ni kuwakutanisha wale wote wanaotarajia kuanza masomo ya Advance level mwaka huu. Katika Thread hii tutapeana ujuzi, maswali na resources za kujisomea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Naombeni msaada mwenye softcopy ya report/vitabu tajwa hapo juu vinavyotolewa na Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namba kujuzwa tafadhari kama mtu kasoma diploma in general agriculture anaweza akasoma bachelor ya human nutrition?
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Habarini wqna JF, namba mnisaidie theisis ya desertation, kwenye maswala ya web designing.
0 Reactions
4 Replies
864 Views
RC wa mkoa wa Lindi amefanya mkutano huo katika chuo cha ualimu cha Nachingwea Amesema kuwa mkoa wake huo umeendelea kufanya vibaya kwa kushika nafasi ya 26 kati ya 31 ya mikoa ya Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Giza nene lazidi kutanda kwa wahitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji mwaka 2017,Utata huo unatokana na uongozi wa chuo kushindwa kutoa majibu ya uhakika na kupigwa danadana ndefu juu ya utoaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka kufanya mtihani wa form six private candidate Nina C English in language,C kiswahili,C literature in English, D civics,D biology, F geography,F history, F math.nitasajiliwa?
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Hello JF, Swala la elimu bure limekua na changamoto zake, watu wamekua wengi na sidhani hii kitu ita last. Leo ningependa kuona mfumo wa kusoma unakua expanded, Serikali I invest kuwasomesha...
0 Reactions
6 Replies
903 Views
Hivi course unayosoma au kazi unayofanya ndo hiyo uliyokua unaipenda tangu ukiwa mdogo ????
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajanvi, Naombeni kujuzwa kuhusu chuo cha VETA Shinyanga je wanatoa course za uendeshaji mitambo ya ujenzi zinatolewa pale kama grader au bulldozer, dumper, front loader. Naombeni mnijuze...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Back
Top Bottom