Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tuubusti kidogo ubongo..Taja majina ya nchi hizo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF . Naombeni mawazo yenu . Nimeplan kutengeneza system ambayo itasaidia kupunguza matatizo wanayokumbana nayo wagonjwa mahispital. Mfano kusubir huduma bila mafanikio na kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Mdogo wangu amechaguliwa form V shule moja mkoani Kagera ila anapenda kuhamia Bwiru Boys comb ya PCB.Kuna mtu anaweza akanipa msaada wa mawazo ili niweze kupata nafasi ya kumuhamisha Bwiru Boys?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wizara ya elimu inachezewa sana na shule za serikali !! Kuna maswali mengi yaliyosa majibu, ni kwanini masomo ya sayansi hapa namaanisha PHYSICS, CHEMISTRY, MATHEMATICS na BIOLOGY wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pindi na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu. Sasa na miaka 70 nini, je Dada yangu atakua na miaka mingapi? [emoji56] Nasubiri kuona wavivu wa kufikiri
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari.?? Naomba tusaidiane kuelimishana katika hili. Tunajua kuna madini mbali mbali na yanapishana matumizi na gharama zake... Tukiachana na matumizi ya silaha yatokanayo na baadhi ya madini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wana jukwaa hili la kielimu. Naomba kujua(kutolewa tongo tongo) juu ya usomaji kupitia njia ya mtandao. Nimekuwa na shauku kubwa sana ya kusoma kwa njia hiyo lakini naogopa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara juu ya jambo hili na kushindwa kupata jibu jadidi. Hivi ni kwanini wanawake wembamba wanakuwa na uke mpana kiasi kwamba ukimwingilia unakuwa kama...
3 Reactions
27 Replies
24K Views
Wapendwa hope mko poa Naulizia shule nzuri ya nursery ada yake isizid m4. Mtt ana 4yrs. Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba ushauri wenu wadau was JF kwa aliyesoma combination ya PCM anipe maelelezo machache kabla sijaenda kuanza masomo yangu July 2018 Mwenyezi Mungu awabariki Ahsante
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wana jf, natafuta shule ambayo mtu anaweza kusoma pre form five, simaanishi tution centres hapana nataka shule kabisa ambayo inachukua wanafunzi wa pre form five hatakama hawatosoma hapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wadau wote.kama kawaida huwa sifumbii macho pale ninapokuwa ninaona kuna vitu vinaenda ndivyo sivyo hususani katika elimu....... Miaka michache iliyopita serikali ili zindua sera mpya ya...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Nina rafiki yangu alirisit mwaka jana matokeo yake akapata Chemistry B Biology B Geography C Mathematics F Lakini kwenye cheti cha kwanza alikuwa na credit za arts pekee Ila yeye alikuwa anataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, jirani yangu alipata div 4 form6. Hiv sasa anataka kurudi kusoma ila anataka kuanza degree na sio diploma, alipata alama hizi Gs S Geog S Chem F Bios E Bam F, je anaweza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kama nusu saa hivi imepita, lakini cha ajabu muda huu nampigia naambiwa namba yake imefungiwa. Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
naomben msaada n chuo kip n kizur kufanyia field mwanza kwa bachelor of edu in psychology
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani, kwa matatizo kama haya huku ndio kimbilio langu. Kamusi ninayo hitaji napenda iwe ta TUKI. Ikikosekana hio, basi yoyote. Nina muda mrefu naitafuta ila siipati. Niliulizia HARDCOPY...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Hello guys Naamini mwanafunzi yoyote anaepata division 1, o-level ya necta ana uwezo mzuri kiakili, sasa nashangaa wengiiiiii tena waliopata division 1 ya point 8 au divison 1 point 9 kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom