Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tafadhar wana Jf naombeni msaada nahitaji kufahamu uwezo wa shule ya Sangu katika kutoa taaluma bora. Nina mdogo wangu ambaye anatalajia kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwakani. Nilimuuliza...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
wana jf, nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa. Ndugu zangu naomba mnisaidie mishahara ya walimu ngazi ya cheti, stashahada, na shahada!!! Hii ni kwa wale walio serious jamani. Nawasilisha.
0 Reactions
26 Replies
26K Views
Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inakuwaje wadau wenu wanapohitaji huduma mbalimbali mnazotoa ikiwa ni pamoja na kupata Statement of Result, uhakiki wa vyeti, uthibitisho wa uhakiki na taarifa, mblimbali zinazohusiana na huduma...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Kati ya shule hizi ipi ni bora katika ufundishaji na kwa nini? Kwa wale waliozisoma naomba msaada 1.Mzumbe 2.Kibaha...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
mashindano haya huwa mazuri sana hasa pale mnapofanya vizuri katika michezo, nakumbuka nimewahi kufika mkoani kwa uchoraji enzi zile,sema siku hizi wamebaki watoto wadogo wadogo,hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani tumezaliwa tunazungumza Kiswahili lugha ya kwanza (wengine wetu). Kila siku tunazungumza Kiswahili. Tunazungumza sana Kiswahili mpaka tunajulikana pande ile kuwa sisi ni ile mitu iko na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza
1 Reactions
4 Replies
2K Views
I humbly request for the recently marked form 6 Dar language 1&2 Mock exams Marking Scheme. Please help me urgently!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nini unakikumbuka kuhusiana na St.Matthew's secondary school?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Nakalibia kumaliza usajili wa kusomea ACCA ile ya worldwide ambayo makao makuu yake yako London, Ila kwa hapa nchini wana branch yao pale posta. Swali langu kwenu Je, kuna yeyote...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Three ya 23 na ukibalance comb una wez kwenda form five kwa gvt??
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Namba ya ajabu ni π au Pi yenye thamani ya takriban 3.14. Inasheherekewa na wanahisabati na marafiki wa namba kwenye tarehe inayofanana na namba hii yaani Machi 14. Pi inafafanuliwa kama uhusiano...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama bajeti ya mishahara kwa 2017/2018 ilikuwa trilion 7.206 na 2018/2019 ni trilion 7.369, je, kuna unafuu hapo? Nini maoni yako?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nataka nikasome law ngazi ya cheti IJA. Nmeangalia kwenye website yao Hakuna taarifa zinazodirect namna ya kufanya application. Kwa anayefaham naomba anisaidie utaratibu ukoje na Kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama akitokea professor akajenga hoja juu ya kuamzisha mtaala wa michezo hasa mpira wa miguu,na ikafanikiwa kuanzishwa,hapo ndipo unaweza kupima ujinga wa hali ya juu uliopo katika elimu ya...
1 Reactions
7 Replies
992 Views
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi...
4 Reactions
62 Replies
9K Views
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu. Ngwe iliyopita nilikua na semester...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Mtoto wangu kamaliza form four mwaka jana katika shule moja ya binafsi mkoani Mbeya na matokeo yametoka mwaka huu. Kafaulu vizuri tu. Alichukua form kwa ajili ya kufanya entry examination...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
kwa mwenye taarifa ni chuo gan kinatoa koz ya postgraduate in mathematics Uganda au Tanzania
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom