Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Bila shaka wanasomea masomo ya sayansi na mwaka huu bila shaka wanahitimu, nasikia mwezi huu wa pili wana mtihani wa kitaifa. Hivi nao wakimaliza watasubiri ajira kama wengine? Au wao...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Fursa kwa wanafunzi mnaopenda kuuza sura kwenye YouTube, kama mnavideo zenu tumeni, Read their description
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Napenda kujua aina za Casio calculator wanazoruhusu kwenye paper na kama zipo aina nyng wanazoziruhusu, je IPI ni version nzuri zaidi???
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi, Kwa anaemfahamu mmiliki wa shule ya Musabe iliyoko jijini Mwanza tafadhari asaidie kufikisha ujumbe huu. Ni kweli shule imejengwa kwa standard ya kisasa na mmiliki nampongeza kwa hilo...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari..!!. imani yangu inanipa ya kuwa JF kuna wasomi wengi wa Elim za juu. Naomba tusaidiane katika hili mana wengine huwa tunapenda kujifunza ambavyo hakutuvisoma.. Martin Luther King Jr &...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
habari wakuu, naomba mwenye kujua chochote kuhusu applicaton na market ya hiyo program kwa hapa Tanzania utakapoisoma kutoka nje ya nchi! inakupa uwanja gani wa kujiajiri au kuajiriwa. shukran
1 Reactions
15 Replies
3K Views
nina 4 ya 29 na D sita na F ya math je lipi la msingi kwa sasa nilichukulie hatua naombeni msaada wenu tafadhali kama niku receit au kuna cha maana zaidi ya ku reciet
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Wadau, mwenye taarifa zozote za admission za masters UDSM znatoka lini naomba atusaidie, Mwanzo wakati tunaapply waliweka tangazo kuwa watatoa majibu July mwishoni lakin mpaka sasa bado...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Halla to All !. Straight kwenye mada. Leo nimemkumbuka sana jamaa yangu mmoja nilisoma nae Primary. Jamaa tulikuwa tunakaa kitaa kimoja. Tukiwa skuli, usingeweza kunionea kizembe alafu yeye...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi.. Rejea kichwa cha habar hapo juu... kwasasa na miezi tisa katika utumishi wa umma, kwa nafasi ya ukufunzi wa somo la kompyuta katika chuo fulani cha ufundi chini ya wizara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wanajamvi habari zenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa mwenye hivi vitabu kwa soft copy itapendeza sana kama ntavipata. 1. Mushi, E.G. (2014). Administrative Law in Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
am very disappointed! viongozi wetu mpo wapi!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Certificates for sale By Mkinga Mkinga , the Citizen 26 September Do you want an 'original' national school examination certificate without having to sweat for it in an exam room? It's...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf natumai mu wazima pia poleni na mihangaiko ya maisha Nna jambo moja hapa naomba ushauri utakaofaa Kwa upepo wa sasa kuna mtu hapa ni mwalimu yupo ngazi ya Cheti...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Labda niiweke mada hii vizur ndugu zangu wa JF nimesikia maneno mengi kwa baadh ya watu ati Kusoma PCM ni kujichosha kwani suala la ajira hapa nchini kwetu ni ndoto Kwa walio pitia njia hii...
1 Reactions
38 Replies
17K Views
Elimu lazima ishuke tusipokuwa makani walahi. Darasa la wanafunzi 200 wanafanya mtihani kwenye chumba kimoja, madawati yamekaribiana sana, mwalimu/msimamizi/invigilator yuko bize na smartphone...
0 Reactions
7 Replies
998 Views
Mimi nilifanya mtihani wa form six kwa combination ya HKL nilipata division three but o level Nina c ya physics ,C, chemistry ,D ,ya biology ,civics ,B, English ,C, na mengine D , math ,F ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mabadiliko yaliyofanywa na baraza la mitihani yaani necta, hayaendani wala hayajategemewa kama kuwa itakuwa ni suluhu ya uboreshaji wa elimu yetu Nashauri serikali wapitie na waangalie upya aina...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nataka niende chuo cha nursing naomba mnisaidie kupa instruction za hivyo vyuo Naomba ushauri nimepata three ya 24 nina phy D chem D biol C kisw C civ C engl C Geo D math D
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Nina elim ya form six napenda nisome Diploma ya ( Network&hardware au Network security au Multimedia) naomba mnishauri ipi kozi mzuri zaid kat ya hizo na vyuo ambavo naeza kusoma.
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Back
Top Bottom