Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila...
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku maarufu Musukuma (CCM), ameitaka serikali irudishe kazini watumishi wa darasa la saba iliowafukuza vinginevyo wabunge wenye elimu ya darasa la saba pia...
wakuu habari, naomba msaada kwa aliye na uzoefu au taarifa sahihi za chuo hiki anisaidie. campus life, ubora na unafuu wa msisha nje au ndani ya chuo.
nahitaji kumpeleka mtu kule je tution...
Habari wadau, mimi ni kijana mwenye kipaji cha kuchora, kudizain maneno na kuandika (Painted skills), lkn skuwah kusomea chochote juu ya ivyo, ila kuna baadh ya watu wamenambia nikasomee...
Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila...
Habari wana JF, natamani sana nifungue NGO ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na...
Habarini za jioni wapendwa wanaJF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale tuliosoma SINGE HIGH SCHOOL tukutane hapa kubadiliahana mawazo na...
Husika na mada tajwa hapo juu
*Bei za ada ukitaka kusomea urubani?
✈✈✈✈✈
* je,utoaji wa ajira hauna undugu?
* Tanzania kuna chuo bora cha Urubani✈✈?
* Je ni lazima kusomea nje ya nchi?
*...
Hahaaaaaaaaaa jana ndio nimegundua kweli anayetaka kukunyanyasa anakunyima akili tu, CWT hapa mlipoteza muelekeo.
Binafsi ninafahamu shida za walimu wa Tanzania na maswahibu yote katika kazi ya...
Wakuu,
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu tusio wanufaika wa mkopo, hususani wale tunaoendelea kwa mwaka wa 2 na na 3.
Inauma sana iweje baadhi ya...
Tafadhali nimeulizwa swali na mama mkwe wangu kuhusiana na GPA??
Kuna shemeji yangu amesomea course ya BAED na amepata GPA ya 2.56 na anataka kusomea course ya "Masters " kwny Administration...
MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY AUSTRIAN DEVELOPMENT COOPERATION ITH SCHOLARSHPS FOR TANZANIAN STUDENTS
1.0 INTRODUCTION
The Austrian Development Cooperation offers two types of...
UKIFUATILIA mazungumzo ya wa-Tanzania wengi kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuona namna watu wanavyojinasibu kujua. Mijadala mingi imejaa ‘ujuaji’ unaofanya watu wajigambe, wadhihaki wengine...
Habarini jf.
Nina mdogo wangu amemaliza certificate royal college mwaka jana ila mpaka sasa hajapata cheti. Nimejaribu kufatilia chuoni mara kadhaa wana sema vyeti bado havija sainiwa nimeuliza...
Nina mtoto wa sister yangu. Ana div 1.12, shule aliyosoma O level haitaki.
Shule nyingi nazompeleka naambiwa kachelewa. Walishaanza kusoma na mambo kama hayo.
Ni mtoto wa kiume.
Nakmba kujua...
SWALI LANGU LA LEO.
ni ipi opportunity ya mtu wa IT au computer science je anaweza kufanya kazi ya IT peke yake au sector tofauti kutokana na elimu aliyokuwa nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.