Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za muda huu wanajukwaa wote vp wikiendi inakwendaje? ebuana nina mdogo wangu kamaliza sekondari kidato cha nne 2014 sasa kutokana na matokeo yake yaani combination inbalance hakufanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dhumuni kubwa la uzi huu ni kuuelezea umma kuwa Mimi ni miongoni mwa walimu bora mwenye mchango mkubwa kwa wanafunzi wasomao somo la history. Nimewasaidia wengi na matokeo yao yalikuwa makubwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
MATOKEO YA KIKAO CHA MAJADILIANO KATI YA CHAKAMWATA, CWT, MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA, KAMISHNA WA KAZI NA MWANASHERIA WA MSAJILI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KILICHOKAA TAREHE 10/04/2018. Kikao...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM).vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha.
1 Reactions
23 Replies
14K Views
Jamani jana niliomba kama kuna mtu anfahamu procedure ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza aniambie kwa mtu mwenye 28 ya f4
0 Reactions
13 Replies
36K Views
JE UNA ASSETS AMA LIABILITIES? [emoji888] Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. [emoji888] Liability ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako. [emoji1542]Ukitaka...
0 Reactions
3 Replies
811 Views
Naomba huu ujumbe uwafikie menejimenti ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi , NBAA. Yahusu ucheleweshwaji wa matokeo ya mtihani wa Novemba 2017. Kwanza kabisa hajawahi tokea kwa bodi kichelewesha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Diploma hii inaajira serikalini?na VIP kuusu mishaara yao.tujuzane wataalamu wa afya .
0 Reactions
14 Replies
5K Views
habari zenu wadau naomba kuuliza kwa anayefahamu hiv mtu ukisup chuo inakuaje kuhusu mkopo wako je unaendelea kupata au la? na pia uki carry mkopo unapata au la?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, mimi natarajia kufanya application NACTE kwa mwaka 2018/19 ila nahitaji ushauri kati ya hizo ipi nzuri kwa soko la ajira maana sina mtaji wa kuweza kujiajiri maana ninasifa za...
0 Reactions
41 Replies
15K Views
mm ni mwanafunz nliohitimu elimu ya sec. mwak jana naomb ushaur,clinical officer na pharmacy kw sasa ipi inalipa?, yaan kimshahara..........
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada kama kuna vyuo vya serikali upande wa kilimo na mifugo diploma ambavyo vimeanza kupokea maombi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za jioni napenda kupata kiini cha migogoro hasa shule za sekondari zenye walimu wa kike na kiume na unakuta mwalimu anapokuona umeteleza mahali anatumia hayo madhaifu yako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninashida Na Salary Slip Nimejiunga Na Utumishi Portal Naweza Kuprint Plz Msaada,
0 Reactions
7 Replies
39K Views
Kumekuwa na mazoea ambayo kila mgombea URais wa chama flan anakuwa na kauli mbiu yake hii si mbaya lakin kumekuwa na kosa kubwa ambalo kamwe hatuwezi kusonga mbele tunashindwa kuwa na muendelezo...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Mwezi wa kwanza hadi wa tatu, ulitolewa waraka wa kuamisha walimu wa masomo ya Sanaa baadhi toka shule za sekondari kwenda shule za msingi Tanzania yote. Agizo hilo lilitekelezwa na wakurugenzi...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Msaada namna ya kupata refference baada ya ku-google material
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Kati ya wanafunzi na walimu nani anakua kamfelisha mwingine? Maana mwanafunzi akifundishwa akaelewa hawezi kufeli.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye website inaoonesha jinsi ya kuomba internship Kwa wahitimu wa kada za afya asaidie kuishare humu Natangulisha shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom