Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wakuu. Nina mdogo wangu mwenye diploma ya medical laboratory. Anataka kujiendeleza kimasomo(yaan kuchukua degree ya kwanza) lkn isiwe mambo ya afya. Anachotaka yeye in vitu kama...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Wakuu nawasalimu Wana poleni na majukumu! Kwa wale wazoefu na wajuzi wa hizi shule za vipaji maalaumu mfano iliboru, kibaha, mzumbe mtwara tech, tanga tech, ifunda, etc. Ni Kwa nini serikali...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naomba kufahamu gharama za ada zinazotozwa na shule ya msingi/ sekondari Tusiime kwa anayejua (day&boarding).
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Kuna rafiki yangu anaomba kujua kuhusu utalatibu wa kuhama,kutoka kuwa mwalimu wa s/msingi kwenda vyuo vya kati,kwa sasa ana shahada ya elimu ya awali,ni hatua zipi anatakiwa kuzifuata?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni nipate KURUNZI YA MWALIMU(TEACHERS SCHEME) ktk mfumo wa PDF
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya. Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri. Naitwa Francis Jackson...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomben list ya faculty nzur ninazoweza kusoma kwa matokeo haya DCD-(cbg), nilipata II ya 20 o'levo.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wana Jf nataka shule au college ya kujitolea kufundisha nitakapomaliza Chuo, Mkoa wowote Tanzania. Nasoma Degree ya special needs education. kwa masomo ha kufundisha nimesoma English literature...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi Salaam. Ninaomba jujuzwa mtaalam wa Java au any other programimming language anayetoa tutorials. Please let me know.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kuuliza graduates waliomaliza course mbalimbali UDOM mwaka 2017 vyeti bado havijatoka?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wadau! Hebu tuambie ni hesabu gani ulikuwa huzipendi kipindi upo Sekondari, na zipi ulikuwa unazipenda Sana..... Binafsi hesabu za maumbo nilikuwa nazichukia Sana, yani nikiletewa...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Wadau. Mimi nina shahada ya ya kwanza ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. Nahitaji kuendelea na masomo,nimepata taarifa kuwa hapa dsm kuna chuo posta kinaitwa Tanzania Institute of Project...
1 Reactions
11 Replies
12K Views
Nina elimu yangu ni kidato cha nne nimepata division four ya 27 Book_keeping-D Commerce-D English-D Geography-D History-D Kiswahili-C Islamic-D Basic mathematics-D Biology-F ●NAOMBENI USHAURI...
1 Reactions
37 Replies
12K Views
Napenda kwa wale wanaojua maana ya jina hili la huyu Mh.rais wa jamhur ya kidemocrasia ya watu wa congo na historia yake toka mwanzo wa urais wake na misuguano kati yake na mwanamuzi na gwiji wa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi...
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Wapendwa wana jf naomba kwa anayeifaham shule ya Cornerstone Leadership Academy kuhusu vigezo vya kujiunga na hiyo shule alafu na mengineyo zaid naomba anijulishe Tafadhali kwan natamani niijue...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA RAISI 1.LAMECK KAMULI- 506 sawa na 38.1% 2.CHACHA KYARO -438 sawa na 32.9 3.GWAKISA A. MWAIPOPO 384 sawa na 28.9% Hongera nyingi kwake Lameck Kamuli
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanaJF... Naomba kufahamishwa maswali haya; 1. Hivi kwa mwanafunzi aliyepewa mkopo na bodi ya mikopo yaani 100% chuo kikuu, anakua na deni la jumla ya Tshs ngapi baada yakumaliza masomo...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
habari za asb wanajamvi nipo mbele yenu naomba kuuliza kwa dar ni wapi kuna chuo kizuri cha uandishi wa habari na utangazaji tv & radio broadcast na je ada zipoje mkuu pia khsu field pia kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza mm ni mwalimu sekondari nataka kuhamia primary nifanyeje?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom