Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu, Nikikaa Marekani au UK kwa mwaka mmoja nitaweza zungumza hii lugha ya malkia kwa ufasaha bila kigugumizi? Nimemaliza chuo tena bachelor lkn kingereza changu sio kizuri, na huwa nakwama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie nimemaliza diploma ya procurement ktk chuo cha st joseph mwaka 2018 nataka kuendelea ngaz nyingine lakin nashindwa kutokana na taarifa zangu hazipo NACTE na kila ninapo ulizia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa mwenye kufaham colleges zinazotoa course za wildlife animals, kilimo na mifugo, au misitu kuanzia ngazi ya certificate anifahamishe.
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu salama? Leo niko na majonzi sana kwani nimepokea matokeo yangu ya test ya INTERNATIONAL LANGUAGE TEATING SYSTEM (ielts) na kupata overall 6.5. Lengo langu ni 7 kwa kila module, je nifanyeje...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza leo tarehe 20 baadhi ya walimu wamepelekwa shule za msingi haijalishi mwalimu ana digrii au diploma,ikumbukwe walimu hao walipo kuwa vyuoni hawaku...
5 Reactions
67 Replies
11K Views
Mwalimu wangu wa somo la Fizikia wa O'level aliwahi kuniambia kuwa DIT ni bora kulinganisha na UDSM katika field ya engineering kwasababu kuna vifaa vingi vya kujifunzia. Na kwamba wa DIT wanakuwa...
3 Reactions
124 Replies
18K Views
Jamani wana jf kwa napenda kuuliza hivi kwenda kujaza form za mkopo ni mpaka uende internet cafe au kuna njia nyingine
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NAOMBA kujuzwa kuna intake ngapi au kuna awamu ngapi za kuomba nafasi ya kusoma chuo huria Mimi binafsi niliomba kujiunga na chuo hicho jina langu halijatoka na Nna GPA YA 3.0 ya Diploma ya...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Kwa wale wanaotaka mitihani ya miaka ya nyuma tuonane hapa.
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Wandungu samahanini naombeni kuuliza hivi mfano mtu aliesoma Diploma ya General Agriculture anaweza omba degree ya COMMUNITY DEVELOPMENT na akachukuliwa kwenda kusoma?Mwenye uelewa anaombwa kunipa...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Watu wengi ni wavivu wakusoma vitabu, je ni namna gani mtu anaweza kujenga tabia ya kujisomea vitabu na kuongeza maarifa
1 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKUU kama kuna mtu anamdau anasoma CBE DODOMA kozi ya Diploma ICT Intake ya March 2018 naomba aniunganishe naye plz. Asante sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemaliza shahada ya kwanza ya BACHELOR OF TOURISM MANAGEMENT AND MARKETING nataka kujiunga na taasisi tofauti ili kupata experience and I do not care about payment. Naomba msaada kwa anaefahamu...
1 Reactions
1 Replies
775 Views
Wakuu mliopo humu ndani hivi open university wana course za diploma za ualimu?
1 Reactions
9 Replies
4K Views
nilikuwa nataka kujua zaidi kuhusu hiki chuo kama sijakosea huwa elimu yake inakuwaje. huwa ina kuwa ni online au darasani au ni ile unajisomea mnakutana kwenye test tu. na kama ni hivyo ada...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
mwenye kujua postal address ya afisa elimu sekondari, halmashauri ya mji kibaha, msaada naomba
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
1 Reactions
10 Replies
39K Views
Daaaaah nimekaaa leo nikamkumbuka huyu Proffesor nikasema mwacheni Mungu aitwe Mungu manake huyu Prof ni kiboko kwa kwa carryover na Sap i remember them days kuna siku tulikosa course work almost...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu Habari za asubuhi? kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ninaomba mnisaidie kupata programs za kuandalia mitihani na notes za somo la hisabati. Huwa ninapata shida sana katika maandalizi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua utaratibu was kujiunga na open university ngazi ya certificates, ada zake pamoja na minimum requirements zake. Specifically certificate in law . Thanks
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom