Habari za majukumu wakuu...!!? Naomba kufahamiahwa kuhusu kozi inayotolewa pale SUA ya laboratory technology.. inausiana na mambo gani na nyanja zake za kufanya kazi zikoje..?? Kwa wale wenye...
Fikiria mtu anachora mstari kuwa ufaulu ni alama 50 (50%), halafu kunatokea wanafunzi watatu wa kwanza kapata alama 45 (45%) wa pili kapata alama 50 (50%) wa tatu kapata alama 100(100%).
Sasa...
wakuu....
naomba kusaidiwa kwamba kwa mfano una herufi A,B,C,D,E na F na unataka kuzipanga katika namna ambayo nherufi zinaweza kujirudia. mfano; AAAAAA, AAAAAB, AAAABB, AAABBB, AABBBB, ABBBBB...
Kwasasa Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) kimepanda hadhi na kuwa CHUO KIKUU, au university na sasa kitaitwa NATIONAL UNIVERSITY OF TRANSPORT(NUT)
Hii ni baada ya Wachina kuweka Mzigo wa...
Mimi nakumbuka nilikuwa mtaalamu sana wa viapo ambavyo havitekelezeki enzi hizo. Nilikuwa na mipango mingi sana napofika chuo nasema semister hii nitasoma sana kuliko kawaida ila mwisho wa siku...
Nchi ya Finland imebuni shule ambayo wanaamini itakuwa shule bora zaidi duniani kimuundo na kuweza kuinua kiwango cha elimu.
Shule hiyo imeondoa vizuizi vya kuta kati ya madarasa na wanafunzi...
Heshima yenu wadau.
Mimi ni mlinzi kipato changu ni laki moja na nusu kwa mwezi. Nina degree ya Management of Social Development na GPA ya 4.0. Baada ya ajira kua ngumu nimewaza kusoma master...
Kwanza pongenzi kwenu kwa majukumu yenu. Ni kwaida sana katika nchi yetu kukuta mwalimu yuko peke yake katika shule husika.
Ni ukweli usiofichaka kuwa licha ya uwingi wa vipindi bado mlio wengi...
Wapendwa naomba kuulizia gharama za kujisajili PC kidato cha sita ada za vituo na practical kwa masomo ya sayansi jumla inaweza kuwa kiasi gani naombeni mchanganuo na je unaweza kulipa kianzio...
Sheria UDSM wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 161 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of...
Kwa hali ya kusikitisha mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata kuanzia April 2018.kwa hali ilivyo walimu wamekata tamaa na wameamua kuweka mgomo...
Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
Napenda kujiunga na VETA. Ila kutokana na majukumu niliyonayo inaniwia vigumu kujiunga.
Je, naweza kusoma nikiwa nyumbani kwa njia ya mtandao?
Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze tafadhali.
Poleni na mitian kwa wale wote mlomaliza salama. Kufanya kwako mtiani huu nadhani umepata picha halisi ya matokeo unayoyasubiria. Yafuatayo ni baadhi na utakayo kutana nayo kwa miezi mitano...
Habari za wakati huu ndugu zangu! Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya hapa na pale katika kufanikisha malengo mbali mbali katika maisha
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Kutokana na...
Kwa miaka hi ambayo swala la ajira ni bomu kubwa ni ajabu kijana kumaliza chuo ukiwa bado watumia maji, umeme, godoro, kitanda, rumu kwa ku shea ni aibu.
Miaka ya hapo nyuma kidogo hili swala...
The way ones feels when exams about to start the pressure inside you become confuse and wondering whether you will write the exams or not dual to finacial problems i have experience that its the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.