mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu. nimesoma bachelor degree of education with mathematics and information technology. pia ninaweza kufundisha physics kama kuna uhitaji. kwa shule, taasisi...
Habarini za mida ndugu zangu ,, tumaini langu haujambo na mnaendelea vyema na utendaji Wa ujenzi Wa taifa letu . wakuu naomba kuuliza juu ya hizi kozi mbili za afya ambayo ni clinical medicine na...
Hope mpo pouwa kijana katika harakati za kutafuta maisha nimepangiwa kazi huku kigoma kama mhasibu na shirika fulani hivi la nje (NGO) Ila lengo langu ni kusoma CPA (T) ila kwa kigoma hamna centre...
Habari ndugu, Excellent Training Center ni kituo cha kufundisha masomo ya QT na wanaorudia form IV, pia tunafundisha Elimu ya Watu Wazima wasio jua kusoma na kuandika. Kwa miaka yote tumekuwa...
Habari wadau me nimemaliza form 6 nimeapply vyuo viwili na pia loan nimepply ila naskia ukichaguliwa zaid ya chuo kimoja inaleta tatizo kweny mkopo! Naomba kaka zangu mliotangulia mniambie...
Habari zenu wana Jf Mimi ni mwanafunzi nilio hitimu kidato cha nne mwaka Jana na kupata matokeo haya
MATHEMATICS-C
PHYSICS-D
CHEMISTRY- D
BIOLOGY-C
GEOGRAPHY -C
ENGLISH-C
HISTORY- C...
Hello JF: nawasalimu wakuu, poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29, anatamani sana kuwa mtangazaji/redio presenter, pamoja na kuwepo vyuo...
Salamu wadau wa jukwaa adhimu LA elimu hapa jf hivi kwanini elimu yetu haimuwezeshi MTU kujiajiri wengi tulidhani kwenda masomo ya sayansi ndo njia rahisi kuajiliwa lakini wengi wanaishia kuwa...
Habari ya mchana ndugu zangu,, Mimi no mwanafunzi was form six nmemaliza018, napatikana Tegeta mivumoni,,Kwa wazazi wrote walio karibu na maeneo haya, ningpenda kuwajulisha kuwa naweza to a huduma...
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua...
Course gani ngumu na hukimbiwa na wengi chuoni inayohusiana na MTU anayechukua HGE....Msisite kuniambia maana nafanya ka research ,nataka kusoma course ngumu maana ndo itakuwa njia rahisi ya...
Habari Wasomi.
Naomba kufahamu juu ya kozi gani fupi au kozi ndefu katika vyuo ambayo unayoweza kusoma na kukupa ajira ya mapema zaidi hapa nchini?
Natanguliza shukrani zangu.
Wadau anayeifahamu hii shule kuanzia mazingira, malazi, chakula na taaluma ...na vigezo vya mwanafunzi wa kidato cha kwanza kuanza hapo. Natanguliza shukrani.
*TANGAZO TANGAZO*
Tunatoa huduma ya masomo kupitia online tuition, huduma hii inawalenga wale ambao hawapati muda wa kutosha kutokana na majukumu mbalimbali ya maisha, kupitia huduma yetu utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.