Mimi ni mwanafunzi ambaye kwa sasa ndo naingia kidato cha sita,
Nilipata matatizo wakati narudi shule baada ya hii likizo, nikaibiwa begi ambalo lilikuwa na vitu vifuatavyo
•Cheti cha form iv...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa imeongeza muda wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao kwa wiki mbili...
Wakuu mimi ni moja ya watu waliochaguliwa kozi ya BEMIT ya NIT lakini hadi sasa sijapata mkopo mpaka hii 3rd lot na sio mimi tu ni watu wengi wanailalamikia sasa kama kuna mtu amepata mkopo au...
Msaada jamani ,nmechaguliwa hge but Nina vigezo kamilifu vya kuchagua cbg ,lkn kati ya hizi comb mbili ipi ni bora ???[emoji24] [emoji24] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Habari zenu wakuu,
Shida yangu naomba nielekezwe jinsi ya kutengeneza lecture video kwa kutumia PC kwa window 7 au window yeyote .
Yaan notes zipo tayari sasa nataka jinsi ya kuweka sauti ya km...
Habari,
Nilikuwa nauliza mchoraji wa ramani ya dunia alitumia kifaa gani? na Wakati anachor ramani yeye alisimama wapi?.
Mwenye kujua naomba anijuze please
What Is Research Ethics?
What is Research Ethics?
by Nancy Walton, Ph.D.
Research that involves human subjects or participants raises unique and complex ethical, legal, social and political...
penye bold pana maana gani? Out of... ina maana gani/
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including Three credit passes...
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018.
Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
Habari jf,mwenye uelewa juu ya hiki ani elekeze tafadhali nipo katika harakati za kuomba mkopo ila kuna kitu kina ni tatiza kuna kipengele kina sema kama uliwahi kuwa mnifaika wa mkopo una takiwa...
Habari wana Jf natumaini ni wazima wa afya , samahani ndugu zangu kama kuna MTU ana ufahamu vizuri na kozi hizi naomba anifafanulie vigezo vya kusoma kozi hizi kwa ngazi ya cheti au diploma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.