Samahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili.
Sent using...
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi nilipanda na uzi wa kuuliza kuhusu mdogo wangu wa kike aliyepata DIV 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB yakuwa ataweza kusoma shahada yake ya awali, jibu...
Wakuu,
Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine.
Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri...
Habari zenu wanajamvi, mdogo wangu kachaguliwa zanzibar college of health na lugalo(private) coz moja kote sasa haelewi akasome wapi? Ni kipi chuo kizur kati ya hivyo viwili? Kuhusu ada hakuna...
YAH: OMBI LA KUHAMISHIWA JANGWANI HIGH SCHOOL
Mimi ni Sadick francis Masilu, (BAED) ninaomba mamlaka zinazohusika na uhamisho na uteuzi mnipeleke nikafundishe JANGWANI HIGH SCHOOL sababu nina...
wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike...
Haihitaji kufanya utafiti wowote ili kujua mchango wa wanafunzi wa vyuo vya Muhimbili katika kuharibu maadili ya wanafunzi wa Jangwani Secondary.
Wanafunzi hawa wanatumia kuwepo kwao chuo kikuu...
Habari zenu wadau,nimeona katika forum hii watu hupata ushauri mzuri kuhusu matokeo yao na vitu gani wasome,na mimi naombeni msaada wenu tafadhali katika hili.
Kuna rafiki yangu amemaliza kidato...
Taarifa kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita,wengine wanaotaka kujiunga na ngazi mbali mbali za elimu ie.Certificate,diploma,undergraduate na postgraduate.
Kuna maonyesho ya tume ya vyuo...
HABARI ZENU
TUNATAFUTA MTU/WATU AMBAO WATATUPATIA NOTES NZURI SANA ZA MASOMO YOTE YA SEKONDARI NA PRIMARY(primary class 1-7, o level na a level)
NOTES HIZO ZINATAKA KUCHAPISHWA KWENYE WEBSITE...
In today’s technologically oriented economy, it’s no surprise that employees with strong computer skills fare better in the job market than their tech challenged counterparts. This trend...
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni...
Habari zenu ,ninaomba maelezo kuhusu shule hii ( kama kuna walimu wa kutosha ,mazingira yake ,hostej,ufaulu wa shule) inshort mazuri na mabaya asanteni
Wasalaam,
Nimepewa kazi na mzazi wa kijana mmoja kuwa nimshauri kijana wake achague kozi na chuo anachoweza kupata shahada.Kiukweli mimi ni mzoefu kwenye kada za Sayansi(Mhandisi) sasa imeniwia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.