Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
habari wakuu..tujuane tuliochaguliwa saut mwanza tubadilishane mawazo na kujaza mengi...asante nashukuru
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo BCOM ACC natarajia mwakani kusoma CPA module E na F je itanigharimu kiasi gani?
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Ni Chuo kipi bora cha kuzalisha civil engineers?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naweza pata mtu ambaye yupo kwenye hii field nimuulize baadhi ya maswali plz
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Wakuu salaam Binti kapata Div 2 point 12 mchepuo wa HGK katika matokeo yake ya kidato cha sita 2018. Masomo aliyofaulu ni Geography D Kiswahili C, Kidato cha nne masomo yote mawili alipata C...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Tabia!! Tabia!! Tabia!! Hivi ni kwanini Msomi Profesa unakaa unatunga sera na kujenga mfumo wa kumbana Mtu asitimize ndoto yake? Wewe unapata faida gani hasa kwa kufanya hivyo ?? Hivi imagine...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Matokeo ya form six tayari yameshatoka na harakati za kuanza kutafuta kozi za kusomea huko vyuoni tayari zimeshaanza. Nafaham kazi kubwa ya watu wa iT ni ku solve problems in our society sasa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Naombeni munijuze wana wa JF Hivi ni vitabu gani ni bora vya combination ya PCB ambavyo ukiwa navyo vitaweza kukupush na kuweza kufanya vizuri mtihani yangu pindi niingiapo kidato cha tano...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kwa sasa naomba nikiri kuwa ELIMU yetu iko ICU inaelekea kwenye jeneza ama kaburi ifukiwe NA kupotea kabisa. Kuna mambo tutabishana lakini kwa hili naomba mnielewe. Nilikuwa najaribu kuongeza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu zenu ndugu wanajamii, Nahitaji kufahamu vitabu vinavyofaa,muhimu na rahisi kuvitumia katika masomo ya kidato cha tano na sita hasahasa masomo ya biology,physics na chemistry.
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Nina swali wadau ...baada ya kumaliza diploma ya lab technology kuna mtihani kabla hujapata licence
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Habari wana-JF Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kuomba chuo cha SUA, nimefanikiwa kujisajili nina username na password ila kuna sehemu ya kuweka numba ya mtihani wa advance Sehemu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lindi clinical medicine Kigoma clinical medicine center Masasi(mtwara) clinical medicine center Hivi vyuo ni bora kweli kwenye mafunzo ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti na diploma???
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Wanajamvi heshima mbele. Naomba kujua kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu vyuo vya India vinavyotoa Degree ya Engineering (Civil) na makadirio ya gharama zake. Nina binti yangu nataka nimpeleke huko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naweza soma chuo gan kizuri.kozi ya clinical medicine kwa ngazi ya certificate.mkoani Kilimanjaro au arusha
0 Reactions
0 Replies
3K Views
*APPLICATION ZA VYUO ZIMEFUNGULIWA RASMI: HIVI HAPA VYUO VYOTE NA MAELEKEZO YA KILA CHUO -JINSI YA KUTUMA MAOMBI 2018* [emoji828] *[Download PDF Files] za maelekezo ya APPLICATION kwa Kila CHUO*...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jaman naomba kama naweza kuonana na enviromental scientists Tanzania waliopo makazini nisaidiwe baadhi ya mambo tafadhali
1 Reactions
0 Replies
697 Views
Wakuu kijana wangu amesoma CBG na amepata EDD respectively na yuko interested sana kujiunga SUA kwa course yoyote kati ya hizi; 1) Bsc of tourism management. 2) Bsc. Wildlife management. 3) Bsc...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza hivi kwa mfano tayari una bachelor na hujamaliza mkopo unaodaiwa, unaweza kuomba tena degree ya MD ambayo ni kipaumbele cha serikali ukapewa tena mkopo ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada jamani juu ya clinical officer kwa matokeo haya chem-C, bios-C, phyz-F, math-D na englsh-C . Na kama naeza kupata ni kwa chuo gani ? wakuu msaada jamani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom