Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu, Nina swali naomba kuliuliza. Je, unaweza kupata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa umesoma masomo ya ICT? Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jf ningependa kujua ukisoma ict uwezekano wa kupata ajira unakuwaje apo??
0 Reactions
0 Replies
325 Views
ICT
wana jf ningeomba mni juze degree ya ict ni miaka mingapi
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie website nitakayo pata selection ya kidato cha tano 2017 natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natanguliza shukraan nipo na washkaji hivi walimaliza kidato cha nne 2014,walipata D2 wakasoma foundation ,certificate na diploma hawa wanafunzi watafanya vipi?degree mana wamesoma bila vigezo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Application
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajf naomba kuuliza kuna kitu inanitatza et unapoambiwa signed application letter ambayo unatakiwa kuituma maybe kwa email au online system(soft copy)inabid hyo barua uifanyeje
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana Jamvi nimekuwa katika wakati mgumu juu matokeo yangu ya kidato yenye grades. EED kwa hgk najiuliza niende open(foundation) au nijipange tena? Sitopenda matusi wala kashfa kama huna cha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza naomba kutanguliza pongezi katika utendaji wako wa kazi katika kuboresha, na kuhimarisha hadhi ya ubora wa Elimu inayotolewa Tanzania kwa Ngazi tofauti. Andiko langu ni kukuunga mkono...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, ninandugu yangu anasoma chuo kikuu nje ya Tanzania. Kutokana na vyuma kukaza nafikiria kumuhamishia nyumbani yaani Tz ila sijui utaratibu wa kufuata naomba mnisaidie...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana jukwaaa wa Jamii Forum Hivi karibuni waziri wa utumishi @Mkuchika alitoa agizo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuto wazuia Watumishi wanapohitaji kuhama. Kinachotokea kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipi ni nzuri kwa upande wa ajira kati ya diploma ya pharmacy na laboratory? Zote nazipenda na naamini naweza kuzimudu au ipi inaweza fanya ukajiajiari kwa urahisi? Asanteni na naomba mawazo...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Njoo Morogoro wilaya ya Malinyi iliyopo karibu na wilaya ya Ulanga,Kilombero na Ifakara mji nije Moshi vijijini, Moshi Manispaa, Rombo na Hai idara elimu sekondari mawasiliano 0655669079/0719576667
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ina maana gani: Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the ACSEE. A candidate who does not have a pass...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chahusika. Binti mwenye two ya 10 HKL anaweza soma kozi gani nzuri bila kukutana na kikwazo kikubwa cha ushindani? (Kozi nzuri kwa watu wa arts) bila kusahau vyuo husika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwalimu polee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo yanakaribia kutoka lakini hali ndio hii,wapi naweza kwenda nikasaidiwa ili nilipie ada ambayo nadaiwa kiasi cha 500000TZS
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tuliochaguliwa mwaka jana mwaka huu tnaombaje maana ntaoonekana continuing stdnts mxda bndgu pa1
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani ufaulu wa EDD kombi ya CBG unanitesa maana hata course ya kuchagua sipati wala chuo sijui ni chuo gani kitanifaa. Ieleweke mimi sio mtu wa kusoma sana,naomba ushauri wenu kwa wazoefu wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom