Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Matokeo yangu ya (CSEE) yapo ivi BIO=C CHEMI=D GEO=D ENG=C ISLAMIC=C CIVICS=D KISW=D PHY=F MATH=F Div: 3 point 25 Natak kwenda advance kwa combination ya CBG lakin nimeambiwa siwez kufany mtihan...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
jamani ndugu zangu naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anataka kusomea software engineer je ili akasomee course hiyo anatakiwa afaulu masomo yapi ili aqualify kusomea kozi hiyo na vyuo gani vizuri...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Dell Latitude E 6410 Processor i5 Ram 4gb Hard disk 250hb Bei 250,000 Tsh LOCATION MOSHI KCMC Ukihitaji nicheki 0744419474
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani please naulizia jinsi ambavyo naweza kumpata mdhamini wa kunisaidia kupata degree yangu ya pili..kiuchumi siko vizuri na Niko third year but I'm so eager to proceed with higher studies...
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Mie nilisomaga community healthy ila baada ya kuona haina issue mwaka huu nimeomba clinical assistant yaan CA chuo cha maswa clinical office Qualification zangu ni Physics D Chemistry C Biology B...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF,naomba kujuzwa juu ya iyo bachelor degree ya falcut tajwa apo juu interms of its contents, good varsity/college to take t,pia fulsa zake,Unaweza fanya kazi wapi(means...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Waungwana Mabibi na Mabwana, naomba sana kwa yeyote anayeweza anisaidie kupata kitabu kiitwacho Kesi ya Uhaini kilichoandikwa na Mnenge Suluja mwaka 1985. Natanguliza shukrani zangu za dhati...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wazee wa vitei na makayamba mpo humu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mwezi sasa tangu zoezi la kuhakiki malipo ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es salaam lianze, zoezi lilikua linaenda vizuri na kila mtu aliambiwa tatizo lake na kuweza kulishughulikia kwa wakati...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni utaratibu gani unatakiwa kufatwa na kuna mahitaji gani kwa aliye feli form four kurudia form two Katika shule za government au za private
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waulize wote waliofanikiwa LEO Nini kiliwapata wakati WANAANZA walichofanikiwa LEO. Kama Unafahamu Kuhusu GO-PRO CAMERAS zinazotumika Ulimwengu mzima utajua jinsi gani NICK WOODMAN alihangaika...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Form four nilipata Bios- A Phy - C Chem - B Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
salaam wapendwa;naomba msaada jamani kwa wale wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi za mafuta na gesi kwa hapa Tz; kwa shot kozi maana nipo kzn hvyo inabidi niwe natumia mda wa likizo kufanya hizo...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow wadau naomba kujua vyuo vizir vya Uandishi wa habari kwa dar es salaam na ada zake zipoje kwa ngazi ya Certificate nina mdgo angu anataka kuanza kozi hiyo please msaada wenu tafadhali.Ahsanteni
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mambo vipi wakuu, naombeni msaada juu ya hili. Nina rafiki yangu mmoja kamaliza form 6, 2017 na akawa amepata CCB ya Pcb na alikuwa anatamani sana kusoma chuo cha KCMUCo, ila kutokana na lile...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za kazi wanajamii? Mm ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya bachelor of science with education majoring in PHYSICS and CHEMISTRY.Niko mbele yenu kuomba kama kuna shule...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana naomba kufahamishwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza na pia ningependa kufahamu changamoto zake hasa za kujifunza....aksanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hv wana jamii chuo cha tengeru kinafanya vizur bado katika kutoa diploma na vp ada yake Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Kuna cozi mpya imenzishwa Arusha technical college mwaka jana ambayo Ni "Pipe works,oil and gas engineering", Kwa nchi yetu Ni chuo cha kwanza kutoa hiyo course kwa ngazi ya diploma, SWALI, Je...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Back
Top Bottom