Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Morning Guys, Natafuta sehem wanazo fundisha chinese kwa hapa Dar es Salaam. Please mwenye kufaham na anijuze. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hv kwanza AVN kuna deadline katika kuiomb? na kwakuwa application zishafungwa hata sasa inawezekana kuipata?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Nimeunda uzi huu ili wanafunzi na wadau wote wa Ifunda Tech. Tuweze kushare moments..... Karibuni sana tushirikiane
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari.Naomba msaada wakutajiwa vituo vya kufanyia mtihani wa kujipima ya weekend mwanza hususani wa hesabu mwanza huku mi mgeni vituo sivijui
0 Reactions
8 Replies
4K Views
First Law Inertial an object at rest will stay at rest and an object in motion will stay in motion with the same speed and direction unless acted upon by unbalanced force. kwa kiswahili kitu...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Wadau nawasalimu wote,, naomba msaada wa kujuzwa kama mtu umesomea nje na umeshafanya equivqlence hapa Tanzania je ukisubmit result slip yako na hiyo equivalence wakati wa kuapply AVN utaipata...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Habari ya asubuhi wakuu, Naomba ushauri ,ni bank gani nxuri na Kwa kigezo kipi kuangalia kabla ya kufungua ..asante Kwa ushirikiano wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman naomba kuuliza kuna faculty ya tourism Dodoma
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari wadau wa JF naomba kueleweshwa kuhusu utofauti wa fani zitolewazo PASIANSI WILDLIFE TRAINING INSTITUTE na COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT (MWEKA). Nini tofauti kati ya askari wa...
0 Reactions
14 Replies
21K Views
Higher Education Students' Loans Board -HESLB Mnashauriwa kutembelea website yao kuanzia 15/10/2018
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kuuliza kama OUT wameshatoa majina ya waliomba udahili wa shahada ya kwanza?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman naomba msaaada kuhusu matokeo ya nacte yanatoka ln .i mean post za chuo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamvi mdogo wangu anahitaji msaada wa ushahuri kuhusiana kozi zifuatazo: 1.Bsc in telecomunication engineering 2.Bsc in soft ware engineering. 3.Bsc in Computer science. 4.Bachelor in public...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA. Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko. Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza...
0 Reactions
77 Replies
12K Views
1.Mpe Mungu nafasi akupe siri ya kipawa/ujuzi unao ambao ndio kusudi ulilobebeshwa katika Ulimwengu Huu. Mwenye kukiweka kipawa/ujuzi huo ni Mungu. Kaa vizuri na utengeneze na Mungu wa Mbinguni...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za siku ndugu zangu. nahitaji kufaham ni jinsi gani utajua umeitwa kwenye usahili kupitia utumishi webiste au ajira portal? Wanapiga simu? Unatumiwa email? Au kuna njia nyingine ndani ya...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa! Kwa yeyote aliyesoma hiyo course hapo juu, kwa Tanzania ajira zake zipo vipi? Na ukitaka kuendelea na bachelor utasoma ipi? Na je nchi yetu ina uhitaji mkubwa na hawa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Nahitaji kufahamu vitu vya muhimu kwa mtu ambaye anaingia mwaka wa kwanza kuchukua degree ya IT vitu vya msingi ambavyo anatakiwa kuwa navyo anapoanza chuo ili nianze kujipanga mdogo mdogo ndugu...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
Back
Top Bottom