Msaada jamani naitaji kuhama Chuo ..nataka nitike Chuo xx.nienche Chuo cha afya kilichopo Moro dar. Ila kiwe cha afya Na kiwe Na coz ya pharmacy ngaz ya diploma ..Na private ..naombeni msaada...
Huu uzi special kwa wale waliochaguliwa UDOM kwa mwaka 2018/2019 wa masomo...natumaini wazoefu watakuwa mstari wa mbele katika kuchangia mawili matatu...KARIBUN SANA UDOM, KARIBUN SANA DODOMA
Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.
Kwa wale tulio apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea mpaka sasa, Nashindwa kuelewa tangia jana Kila ninapojaribu ku conferm CODE zangu ngoma ina search tuu bila majibu
Ni kweli sifa za kujiunga na clinical medicine zimetelemshwa kiasi hiki? Tunapata matabibu kutokana na walioshindwa Form 4? Just look, D ni failure kwa kozi kama hiyo!
MASASI CLINICAL OFFICERS...
What is mechanical engineering?
Sean Carron, combustion, heat transfer, fluids, machines, control systems, oil/gas processing
Answered Aug 7, 2016
I have hired many engineers over the past 20...
Samahanini jamani naomba kuuliza
Kama mtu amaomba mchanganyiko
Yani mfano ameomba vyuo viwili vya afya na viwili vya ualimu kwa ngazi ya diploma, wanaangaliaga nini kukuchagua chuo kimoja...
Ningependa wizara ya elimu iombe wapelelezi,wapeleleze wajue nini kinachofanyika kwenye sekta yao,alasivyo tutavuna mabua kwa yanayoendelea.. elimu ni kitu cha msingi sana na walimu ndo wapishi...
Zinakuja kwa Bus, Ndege,Treni, aunkwa mguu?
Tar ya mwisho Ku Confirm imekaribia lakini Code hakuna, sasa vijana wetu wata confirm na non? Au watumie namba za kubuni tu?
Kuweni makini pia muwe na...
Nimekuwa na ukaribu na baadhi ya graduates wa fani ya uhandisi kutokana na kwamba either nimefanya nao kazi au nimewahi kuwa class-mate wao katika level mojawapo from secondary to university...
Kuna bwana mdogo alifanya application SUA na UDOM
1st round akapata BVM ya SUA na hakuwa na multiple maana yake alikosa UDOM hakuridhika na BVM hivyo akafanya "reapply" pale UDOM sasa
2nd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.