Kwa wale new applicants wa bodi ya mkopo waliopata matatizo mbalimbali na umeliona jina lako katika list iliyotolewa jana mnaweza kunitafuta ili niwasaidie
Nicheki 0657893565.
Hili limenikuta katika fomu yang ya mkopo. Ambayo jana helsb walitoa list ya majina ya wanafunzi ambao fomu zao zina .arekrbisho..
Ila mimi vyetu vyote vilipita Rita na kwa mawakili .
Nilikua...
wadau habr za muda hu,
walimu wa ajira mpya wanapata tabu sanaaa katika halmshaur tajwa haijawahi tokea,2018
kama wahusika mpo humu angalini namna yakufanya walimu hawan cha kuiba,mazingira...
Leo ndiyo siku ya kuload selection kwenye website za vyuo vya diploma na certificate 2018/2019. Tupeane taarifa vyuo gani vemetoa matokeo ya selection za wanachuo watarajiwa kujiunga
Habari!
Ningependa kupata uzoefu kiujumla kwa wadau ambao mmeshasoma au mnasoma masters degree.
je umeionaje shule ya masters degree ukilinganisha na ile ya bachelor ?
ipi kwako imekua simple na...
Heslb wametoa majina ya wanafunz ambao hawajakidhi vigezo vya kupata mkopo..
Mimi pia ni mhanga naambiwa "BC not certified by Rita" ila nilihakiki. sasa Kwenye kuthibitisha( kurekebisha makosa)...
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya kitu hii anisaidie..
Maana inanichanganya haya maswala ya sporophyte generation sijui gametophte generation..
Na ni jinsi gani hizo sporophte na gametophte...
Mpaka leo napata hii kitu, nadhani kuna tatizo. Kuna ambaye ameweza kuingia kwenye akaunti yake?
HTTP Status 404 – Not Found
Type Status Report
Message /noavs
Description The origin server did...
Uanasheria ni profession ambayo inahitaji mtu ambaye yupo makini sana.Kuna watu wengi tunawaona na degree za sheria mitaani wakilalamika kwamba kozi ya sheria hailipi.Japo kuwa mimi sikusoma...
Kwa kipindi hiki ambacho matokeo ya kidato cha nne yametoka wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla wanakuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kuchagua shule, masomo au fani gani ya kusomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.