Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu, naomba mnisaidie hivi ikatokea kadi ya kupigia kura imevunjika nafanyaje kupata nyingine naomba msaada asee
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu ili niweze kupata code ya kuthibitisha chuo maana nimechaguliwa chuo zaidi ya kimoja. TCU wanasema muda wa kuthibitisha ni leo ila bado hawajanitumia code, sijui wana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi awamu ya nne itakuwepo au tuliokosa tujihesabie mwaka huu ishakula kichwa mpaka mwakani?.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kharaam kadogo kangu toka family friend kamechaguliwa Mpuguso teachers college.Sasa joining instructions namna ya kuipata msaada.Chuoni nimewasiliana nao hawana majibu yanayoeleweka.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hbr mwenye namba za tcu tofauti na walizoweka kwenye website anisaidie Naona vyuo vya tanzania vinaluka uku ndo vimeambiwa vitusaidie kuhusu utata wa namna yeyote now wanasema tupigie tcu ndo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF leo trh 03/10/2018 second batch SUAwamerelease lakini sijaelewa vema kuhusu udahili wao awamu ya 2 na ya 3, nikiingia kwenye account no updates yoyote bali account ipo vilevile kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, naomba ufafanuzi kama hili linawezekana katika utaratibu Wa sasa ,maana nimepata kigugumizi kidogo. Kuna Dada yangu kijana wake yupo kidato cha 3 (form three) Uwezo wake darasani ni Wa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mpaka Leo ni october mko kimya kama imeshindikana toeni maelekezo watu wajue mengine ya kufanya
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu Wana JF Katika jambo ambalo limekera, limeleta usumbufu ni aina ya udahili wa mwaka huu uliubuniwa na TCU wa mtindo wa kuthubitisha kwa kutumia Special codes wanazotumia...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari Wakuu! Je chuo cha muhimbilli kimeshatoa majina ya watakaosoma diploma mwaka huu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani me nimemaliza mwaka huu nimesoma PCB nimepata 1 ya 7 mpaka round hii ya pili sijapata chuo naombeni msaada mwenye namaba za lecture yeyote katika hivyo vyuo naombeni pengine atanisaidia...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Kama wadau wakubwa wa elimu kwa upande wa nyanja ya uzalishaji na uuzaji wa study materials kwa walimu na wanafunzi tuna kila sababu ya kukumbuka siku hii muhimu ya walimu. Kwa msingi huo...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Kama wadau wakubwa wa elimu kwenye nyanja ya uzalishaji na uuzaji materials kwa walimu na wanafunzi, tuna kila sababu ya kuenzi siku hii ya walimu kwa namna zote za kipekee. Mojawapo ni ku share...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA. Hii taarifa ya Voda (kuzungusha gurudumu, ili ushinde zawadi) imesambaa sanaaa .Hawa ni matapeli, usijaribu kuingia kwenye account hiyo na kuweka details zako utaweza kudukuliwa...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Habari wa kubwa Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani? Nimemaliza shule toka mwezi wa 7 bado awajatoa post Na swali lingine...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nipo ubungo River side . naitaji mtu ataye nipa mafunzo ya kutumia Adobe Photoshop Na Adobe premiere. Nita fidia mda wake Kwa pesa tutayo kubalia kutokana Na mafunzo .. Kwa yoyote mwenye kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kijana amechaguliwa chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto, certificate. Mwisho wa kozi hiii ni upi? ie akimaliza anaendelea na nini (diploma, I guess ?????). Hoja yangu: Je anaruhusiwa kuchukua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kujua vyuo afya. vilivyowazi mpk sasa kutuma maombi kwa ngazi ya cheti clinical medicine
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Kwa mwalimu kufanya kazi private au serikalini ni wapi bora
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Nimechaguliwa udsm cozi ya bachelor of art in archaeology & geography.....kwa anaeifaham vizuri anipe details zake na uzuri wake as well as ajira zake
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom