Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni...
Elimu ya kumkomboa masikini ni Serikali kuwekeza kwenye elimu ya ufundi kuanzia Msingi hii itafanyaTanzania yenye Nguvu ki Uchumi katika Elimu inayogusa jamii ya watu wenye kipato cha chini ambao...
Kama kawaida yao, UDSM wanaendelea kuongoz list ya Vyuo bora Tanzania, best five ni:
1. UDSM
2. SUA
3. MU
4. UDOM
5. MUHAS
full list hii hapa:
Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian...
Habarini wana jamvi, ningependa kufahamu kama inawezekana mtu mwenye elimu ya form four akasoma sheria na ni chuo gani kizuri kuanzia??
Pia kuhisu scholarships naweza pata baada ya kumaliza...
kuhusu chuo mimi ni mwanafunzi nimemaliza diploma na G.P.A ya 4.6 ya information and technology nimeapply vyuo viwili wrote wajanipa majibu ukiuliza wanasema tatizo T.C.U kivipi na chuo chetu...
Asalam Aleykum wana jf. Naomba leo niingie humu jamvini kwa namna ya tofauti kabisa kuijadili hali hii ya elim hapa kwetu Tanzania.
Kwanza nianze kwakusema kuwa mimi binafsi ni mwajriwa...
Habari Za jumapili ya Leo.
Naomben ushauri WA kitaalamu Kwenye Suala kuchagua Kozi nzuri Kwa Ustawi WA baadae na upatikanaji Wa Ajira.
Nina wadogo zangu wawili, mvulana kapata division one ya...
Nimechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na sijatumiwa codes na TCU nimewapigia chuo wameniambia nisubiri codes za TCU naona muda unazidi kwenda naombeni ushauri nifanyaje
Naombeni msaada
Nimechaguliwa chuo second selection ifm lakn ila kwenye orodha ya matple selecton sipo ila ifm walinielekeza kuwa ni confirm code nilizopata toka tcu nami code sijapata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.