Samahani wakubwa, nahitaji kujiunga na masomo ya elimu ya juu na tayari nimepata chuo kikuu cha dodoma,, uwezo wangu kimaisha ni mdogo sana kumudu masomo hayo. Mwenye kufahamu naomba anishauri...
Habari wadau,
Nina mdogo wangu alichaguliwa vyuo vitatu,akatumiwa na code aconfirm Chuo kimoja,baada ya kushauriana namm tukakubaliana na akanitumia code nithibitishe yeye kusoma IFM,jioni hii...
Ndugu Zangu Nimemaliza Chuo Hapa Sua sasa kipindi nasoma nilikuwa najichanga ili niweze kwenda Denmark Kupata Masters... Lakini mimi nina nauli na hela ya kunikimu huko Ada Sina Ila Mpango Wangu...
Hbr wana Jf na hongereni kwa majukumu.
Kipindi cha udahili wa vyuo watu wa kwenda kusoma kozi mbalimbali kinafikia ukingoni.
kwa wale wote waliopata vyuo Hongereni sana na Ambao hamjapata pia...
Kalamu ya Miambili ya Jonathan Kwizera (JK), Katibu Mkuu Mstafu DARUSO na Mhitimu UDSM*
Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu.
Wanafunzi 40,000 watapata mkopo , na wewe...
Wadau
Nimeomba salio la deni ninalodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nilichopewa sio salio ni mkanganyiko wa kufadhaisha sana. Kwanza wamedai hesabu zao ni tafauti na hazina.
Kwenye...
Habar zenu wana Jf!! Nilkua naomba kma kuna yoyote anayejua jinsi ya kupata hostel za ndan mapema katika chuo cha T. I. A ambacho kipo dar!! Maana nasikia hua zinajaa mapema sana!! Mayb namba ya...
hvi kufanya manunuzi kwa sarafu ya nchi husika kma Tanzania kutumia Tanzanian shilling badala ya dollar kufanya malipo hili litasaidia kukuza uchumi wa nchi husika?
Wadau kwa mtu anayeijua center nzuri kwa ajali ya review ya masomo ya uhasibu cpa kwa mkoa wa Mwanza tafadhali naomba anifahamishe ... mahali ilipo pamoja na fee intermediate kwa somo itapendeza...
Berachah Valley Primary and Secondary schools inatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi . Mwalimu awe na uzoefu wa kufundisha English medium schools na awe na cheti cha diploma au...
wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue...
Jamani msaada kuna mtu anataka kujua kama kuna yyte aliechaguliwa chuo zaidi ya kimoja tayari kashapata special code tcu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.