Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
*UNATAKA KUWA MHANDISI?* Kama umemaliza *kidato cha sita* katika masomo ya *PCM* au *Diploma (NTA Level 6)* na unataka kuwa mhandisi, Basi jibu ni moja tu. Karibu na ujiunge na chuo cha St...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Salam wakuu. Niliaply vyuo viwili second round ambavyo ni DIT na MUST. MUST walinijibu mapema sana kuwa nimechaguliw lakini DIT wamechelewa sana wamenijibu juzi kuwa nimechaguliwa lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mnaweza kudownload kupitia http://alis.udom.ac.tz/
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Naombeni kuuliza Je kuna ukweli wowote kwamba ukipata carry ya kozi moja ndani ya semester ni kuwa bodi ya mikopo wanasitisha mkopo wao kwako????
0 Reactions
18 Replies
5K Views
jina la tatu kutoka mwisho ni FOCUS MTOKA Namba ya kidato cha nne ni S0387.0044.1998 Hii ina maana amemaliza kidato cha nne mwaka 1998, twende pamoja Mara nyingi anayemaliza kidato cha nne huwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Najua katika muda wote wa udahili tumelalamika sana, wengine wametukana sana na kadhalika. Ni kweli kumekuwa na magumu na machungu mengi yamewasibu na yanawasibu waombaji (haya yote yamelalamikiwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Naombemi mwenye kujua ratiba ya TCU siku ya jumamosi kama wanafungua office Je kama wanafungua mwisho saa ngapi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kufahamu juu ya zile asilimia za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu je!? Kila asilimia moja huwa inakuwa na thamani ya shilingi ngapi!? msaada wenu wakuu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
9 Replies
857 Views
Ushauri wenu juu ya course hiyo
0 Reactions
61 Replies
14K Views
Habarini wakuu. Wale wote tuliobahatika kupata mkopo batch ya nane wa Vyuo vyote tukutane hapa tujue tunafanyeje maana mwezi wa pili huu bado hatujafanikiwa kupewa stahiki zetu. Mawaziri wetu Wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Zenu Wana Jamii Forum mimi kwenye acount yangu nliyofanyia aplction udsm naona kwenye selection result page sioni status zaid naona wameandika an erro sijui na nyie wenzangu mmeandkiwa ivyo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa mikopo kwa wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 25,532 kati ya 41,000 walioomba kwa mwaka wa masomo 2018/19. Akizungumza na waandishi wa...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ningependa kutoa ushauri kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)na vyuo husika kutokana na zoezi la udahili wa wanafunzi lilivyokuwa likiendelea wakati zoezi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF . Nilikuwa naomba kuuliza eti Chuo kikiwa ownership ni private kwa maana cha private lakn kimesajiliwa na NACTE, . Je, selikali ikitangazaa ajira kutoka katika vyuo, wanakuwa...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
msaada.hivi hiyo pesa na hostel au? fee ya Udsm
1 Reactions
5 Replies
821 Views
Hii hapa pdf yenye batch ya kwanza ya waliopata mkopo wa elimu ya juu
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi nina ndugu yangu alifaulu na akapata chuo awamu ya kwanza ila baada ya kutuma maombi ya mkopo kumbe jina lake lilikuwepo katika waliokosea ila alipuuza ama kutojua na sasa amekuja jua juzi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni bora mkarudisha system ya kuaply vyuo kwa wale watu wa form 6 TCU na kwa watu wa Dipolma Nacte. Kulikua akuna multiple selection kama sasahivi, kuna wanafunzi kibao watakosa vyuo kisa hii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba kujua sehemu/maduka /viwanda ambavyo vinahusika kuuza vifaa ya shuleni au ofisini kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.msaada jamani.maana mimi ni supplies ndio na anza na nimepata tenda...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Wakuu kama nilivyoeleza hapo nimetafuta prospectus ya hawa jamaa siipati kwenye site wakuu. Kuna mwenye link ya inapopatikana?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom