Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU) imewapawa fursa ya kwenda kujisajili kwenye chuo wapendacho waombaji waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja
Ni waombaji wale ambao hakuweza kuthibitisha udahili wao...
Thread yajieleza hapo juu wana JF, hivyo kwa mwenye ufahamuna kozi hii tujuzane
Inahusiana na idara ipi kwa wanahabari?
Vipi ajira zake ? zinapatikana kirahisi katika industry ya habari?
Hasa...
Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe...
Amani iwe nanyi wanajamvi! Kwa mawazo yangu kwakweli walimu wangeruhusiwa kwenda kusoma masomo ya ICT au I.T na kupewa likizo ya malipo hata ikiwezekana alipiwe kabisa na ada tofauti na ilivyo...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza kwamba hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology ambayo inasemakana inatolewa chuo kikuu cha UDOM tu.
Je mtu akisoma kozi hii ndio anakuja kuwa...
Habarini,waungwana...Mimi ningehitaji kupewa ufahamu au maana ya haya maneno yaani UJINGA na UPUMBAVU tofauti yake ni IPI?karibuni wadau na wataalamu Wa lugha
Habari za jioni wakuu...
Kutokana na mfumo wa udahili mwaka huu kua na changamoto nyingi, baadhi ya watu tumejikuta tukichaguliwa programs (kozi) nje ya malengo yetu...
That being the case...
DEGREE PROGAMMES AMBAZO ZIMERUHUSIWA KUFANYA FIELD PRACTICAL TRAINING MWAKA HUU KTK COLLEGE YA HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCE YA UDOM: Bachelor of Business Administration(BBA), Bachelor of...
Nachukua nafasi hii kuwapongeza waandaaji wa katuni za akili zinazofundisha watoto wetu kiingereza toka kwenye kiswahili. watoto wangu wanazijua hadi ratiba kabisa za lini kipindi hicho...
Wakuu yaani nimevurugwa asee!
Nilikuwa najua kuripoti ni tarehe 27 nikajipanga nikakata tiketi tarehe 23 niondoke tarh 26 alafu wanaleta habari ya kubadili muda wa kuripoti. Ndio hivyo kesho...
Naomba kufahamishwa mahali ilipo st. Anne marie secondary school.. Nimegoogle naambiwa Iko mbezi but cjajua ni mbezi ipi na direction ipi. Msaada tafadhali.
jaman m nashindwa kuelewa nilchaguliwa round ya kwanza dp ya pharmacy na baada ya kuchagiwa kulkua hakuna selection nyingne yan second wala third sasa nashangaa tulchaguliwa 123 naona yapo majna...
kuna habari nimeiona mitandaoni lakini sijapata chanzo makini cha kudhibitisha hilo. chuo kikuu cha Dar es salaam wametengua usaili wa wanafunzi wake takribani 682 waliokuwa wamedahiliwa chuoni...
Kwa wanafunzi wote kuanzia kidato cha 5,6 hadi chuo kikuu na wasio wanafunzi ilimradi matumizi ya calculator yanakuhusu.
Moja kati ya changamoto zinazo tukabili ni calculator fake.
Kwa wale wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.