Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimemaliza form four 2010 n diploma 2017...nikawa kwenye majina ya waliotakiwa kuattach vitu vilivyokosekana of which I did...selected round 4....je watanipa mkopo?
0 Reactions
7 Replies
900 Views
Jamani nisaidieni Udsm wanatoa lini majina ya waliopata fourth round?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum, Ninauliza anayejua majina ya udsm postgraduate walioomba kwa second round yatatoka lini, msaada tafadhari.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wana-Jukwaa Naomba msaada wenu kunisaidia katika hili, Mfano Mwanafunzi ada yake ni Tsh. Milioni 6 na kwenye Mkopo wa HESLB amepata asilimia 100 atalipiwa kiwango chote cha ada hiyo?
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari za humu! Nina mpwa wangu ambaye alihitimu elimu ya msingi mwaka 2015 na hakubahatika kuendelea elimu ya Secondary. Ni kijana wa kiume ambaye kwa hivi sasa ana umri wa miaka 18. Hivi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za mida hi wakuu Kama kichwa kinavojieleza apo juu hivi inaezekana mtu kubadilisha kozi moja kwenda nyingine mfano nursing kwenda clinical medicine. Au kutoka phamacy kwenda nursing...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari ndugu walimu, Kama title I navyojionyesha kumekuwa na malalamiko na manung'uniko kuhusu huyu mdudu CWT kuwa ni mnyonyaji wa walimu na sio msaada tena...mimi nilikuwa mmojawapo wa watu...
3 Reactions
50 Replies
13K Views
habari za wakati huu wanajamii forums, ninashida ya kutaka kujua kitu kutoka kwenu kwa wnye uwlewa juu ya hili. simply nina diploma ya records ya 4.1 GPA, je naweza kujiunga na kozi ya bachelor of law
0 Reactions
7 Replies
794 Views
Tafadhali Naomba kujua upangaji mkopo chuon Tayar maana chuo knafunguliwa tar 3 November ,2018 sa mtu anajuaje Kuwa kapata aslmia ngap na alipe kias gan? Kwenye acc ya kila mmoja No changes Msaada plz
0 Reactions
20 Replies
3K Views
jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu. ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hizi habari zenu sijazielewa, mnajua kuwa sijaconfirm wala kufanya mawasiliano na nyinyi, sasa hizi admission letter na joining instruction mnazoniwekea kwenye account yangu za nini na mna maana...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco? Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya...
2 Reactions
136 Replies
13K Views
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Habar zenu.tafadhar mweny taarfa zozote zinazohusu muce tafadhar naomba kujua
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wa Notic za Diploma in Clinical Officer. Unaweza kunitumia ktk Email (marcoyohana2@gmail.com) Nitashuku sana kwa atakae nisaidia.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
plz help me this question wana jamii forum. With examples from east or west Africa,show how company rule helped to create European colonization in Africa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu ukiandikiwa repeat module Na mwingine Abscond maana yake nini?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wakuu,hivi wanafunzi wanaosomea diploma ya ualimu wa shule za msingi wanamaliza lini,maana nna mdogo wangu anasoma chuo cha ualimu kleruu anadai nacte wamewatangazia kumaliza mwezi wa nane...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
Jamani wapendwa kuna vigezo gani vya mtu kuweza kusoma open university? Naombeni msaada wadau wangu maana humu kuna watamu kweli
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom